Je, tunahitaji Vazi la Taifa?

Huyu waziri ni pumba tu anafikiri kwa kutumia Masaburi amekataa kupitisha mchakato wa ndg yetu aliyetaka kuanzisha chuo kwa ajili ya kutrain watanzania vijana ili kuja kufanya kazi ambazo hapo baadae zitahitaji maexpart na kulipwa Pesa mingi
Eti awekewe dola laki tatu mezani ndio aweze kupitisha hiyo proposal na hatimaye chuo
SHAME ON HIM
 
Nimekua nikishangazwa na mwenendo mzima wa kupata VAZI LA TAIFA..
Wahusika wakuu wa mchakato huu, kwa nyakati tofauti nimewasikia wakiongea..mara kitambaa kiwe hivi,kiwe cha rangi gani,kiwe kitambaa cha suti n.k
kibaya zaidi nimewasikia wakisema eti..kitambaa hicho kitakuwa na ubora tofauti kulingana na hadhi ya mvaaji..wakitolea mfano wabunge, eti kitambaa chao kitakua na quality tofauti pia wao wanaweza kuchagua suti waipendayo kutokana na kitambaa hicho..
Kwa ujumla mawazo yao yanajikita kwenye kitambaa na ubora wa kitambaa hicho.
Sasa wadau magreat-thinker wa jf..naomba tujadili swala hili kwa pamoja "tunataka vazi la taifa au kitambaa cha taifa" nawasilisha.
 
Jamani huu ujinga wa kuunda sijui vazi sijui kitambaa, vya nini? kung'uta suti kama wengine wote duniani walioamka, angalia Uturuki, Malaysia, Egypt, Israel, Korea, China, South Africa, Brasil, Canada, Russia na wengine wote waliostaarabika na vazi moja tu la Dunia Suti na tai basi au mnataka kuvaa lakini bila tai kama Iran? up to thinkers
 
yaani yanini kung'ang'ania kitambaa badala ya vazi rasmi.
 
mhh sio kweli kwamba southa africa na hao wengine hawana vazi la taifa,wanalo ndugu zangu,karibu nchi zote wanamavaz ya mataifa yao!na kwa hapa kwetu ni muhimu pia tukawa na vazi ambalo mtu akivaa atajulikani popote kuwa ni mtanzania,na kinachoangaliwa sio vazi kama vazi,ila kitambaa,ndio kitakuwa cha aina moja halafu vazi kila mtu atakuwa huru kushona kitambaa hicho anavojisikia,haiwezekani liwekwe vazi la aina moja,maan kila mtu na mavaz yake,likiwekwa la aina moja litawanyima uhuru wengine,na kuhusu ubora wa kitambaa ni kwel pia lazima uwe wa viwango tofaut,haiwezekan vitambaa vyote viwe vya quality sawa,maan kuna matajiri,watu wa kati na akina salito ambao hali si hali,ili twende sawa kila mtu lazima atendewe haki kwa kuwekewa kitambaa atakachoweza kununua,kwahiyo me naona ni jambo jema kuwa na vazi la taifa...ni hayo tu..
 
mkuu..natanguliza heshima.lakini yaani kuweka matabaka yaliyopitiliza na mapya..ya kwamba ubora utofautiane? Kama hali ndio hii kule kwetu kishogo kijijini ndani watapewa vitambaa vya aina gani?
 
kwanza nashangaa sana,yan hadi tunafika miaka 50 ya uhuru hakuna vazi la taifa!its amaizing,pia nawashangaa hao wapendekezaj et liwe vaz la kulingana na hadh ya mtu kwamba la mbunge liwe tofaut na wengine.Ushauri wangu vazi liwe la level moja kwa watu wote haijalish huyu ni mbunge na huyu ni mkulima.
 
Wizi mtupu
hawana lolote hawa
wanaraftiana
ulaji tu,ngoja nimskilizi huyu
mtoto wa mnauye hapa tbc
maana povu linamtoka
vibaya sana,
 
Sioni umuhimu wa Hilo vazi ama kitambaa
hizo Pesa wanazotumia kuandaa hivyo vikao vyao vya kujadili hayo naona zingetumika kununua madawati
 
Nakumbuka kuna mwaka TBC walianzisha watangazaji wake wavae Vitenge Vikoi na mazagazaga mengine ya kale sijui waliishia wapi maana sikuhizi wanakung'uta ki-ITV kwakwenda mbele. yaani Bongo bado kabisa tuachane nayo hayo tusimame kuinua uchumi
 
kwanza nashangaa sana,yan hadi tunafika miaka 50 ya uhuru hakuna vazi la taifa!its amaizing,pia nawashangaa hao wapendekezaj et liwe vaz la kulingana na hadh ya mtu kwamba la mbunge liwe tofaut na wengine.Ushauri wangu vazi liwe la level moja kwa watu wote haijalish huyu ni mbunge na huyu ni mkulima.

hapa ndipo utata unapoanzia kwanini tuwe na vazi lenye hadhi kwa wabunge na lile lisilo na hadhi kwa walala hoi.
 
Nakumbuka kuna mwaka TBC walianzisha watangazaji wake wavae Vitenge Vikoi na mazagazaga mengine ya kale sijui waliishia wapi maana sikuhizi wanakung'uta ki-ITV kwakwenda mbele. yaani Bongo bado kabisa tuachane nayo hayo tusimame kuinua uchumi

kuna ka ukweli siku hizi akina bwigane wanapigilia ki gondwe. Tukirudi kwenye mada we unaona ni sawa kukipa uzito kitambaa badala ya vazi?
 
hapa ndipo ndio utajua kipimo cha ufahamu wetu sisi watz kati ya viongozi na waongozwaji..
 
Sioni umuhimu wa Hilo vazi ama kitambaa
hizo Pesa wanazotumia kuandaa hivyo vikao vyao vya kujadili hayo naona zingetumika kununua madawati

lakini ndo wameshaamua inatubidi kukimbia nalo hili gari, usiposhiriki utaambulia kitambaa chenye hadhi ndogo.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom