Je, tunahitaji Vazi la Taifa?

dili la watu hili wewe utamvalisha nani huo mvazi wao wa vitenge wakwende zao huko sana sana tu watatuletea mavaui ya kushona ya vitenge wavae hao hao kina pinda
 
Ni wazi kwamba vazi la taifa si kipaumbele kwa sasa ukizingatia matatizo kibao ya msingi yanayolisibu taifa, njaa, mfumuko wa bei, umeme usio na uhakika, ufisadi uliokithiri, rushwa, huduma mbovu za jamii n.k. Linaonekana kuwa ni dili la watu wachache make watu wengi hawako interested.
 
Hii yote ni njia ya kupotosha umma ili tujisahau huku viongozi wakituibia. Jiulizeni sisi kama taifa la Tanzania vazi la taifa linatuhusu nini na litatusaidia kujitambulisha kwa watu nje ya mipaka? Tuache upumbavu Wa kujitakia na kupeana haibu. Majirani zetu wanapiga hatua za maendeleo huku wakituacha mbali sie tuko bize kukaa gizani na kupotoshana juu ya vazi la taifa. Chonde Chonde Mungu tuletee kiongozi kama Nyerere, hatutaki hawa kina Chakubanga!
 
leo mweshimiwa zitto kanikumbusha mbali sana enzi zile 2kivyaa nguo zitokanazo na pamba ye2 ndani ya viwanda vye2 leo hii 2natafuta vazi la taifa kwa ku2mia material ya nguo toka nchi za wa2 hivi kweli ha2jaweza kusoma alama za nyakati;
ziko wapi suruali za bwaga chini juu nyembamba zile wakina baba zetu walikua wakizi2mia. lakini kwa uongozi wa 2lionao naona ni kama fahari kuachia mali ze2 kupotea hata bila ya uchungu wowote ule. kila mara nasikia kuna mchakato wa kutafuta vyazi la taifa ila naona kama wanatwanga maji kwenye kinu:
MY TAKE;
nivizuri mchakato wa kutafuta vyazi lka taifa uende sambamba na kaulimbiu ya kufufua viwanda vyetu vya nguo na zani hii itakua chachu kwa wambunifu we2. slowgun yenyewe iwe hivyi,"fufua viwanda vya nguo vyaa ualisia wako kwa mali yako"
aksante nawasilisha
 
Hivi kale ka mchakato ka wajanja wachache kutaka kujinufaisha, kupitia walichokiita, mpango wa kupata vazi la Taifa kutokana na rangi za bendera ya Taifa, kameishia wapi, tujuzane wadau.
 
Mradi umesitishwa kwa muda usiojulikana,
Muasisi hayupo tena kuvaa viatu vyake,
Fedha zilizokwisha tumika zishakuwa sadakalawe.
 
initiater si kapelekwa wizara ya mambo ya ndani ulaji wa vazI la taifa nasikia kawachia wadogo zake john nchimbi,na yule mwingne alex.
 
Kwani hatuvai? Na tukishapata vazi la taifa what next? Hiyo ni michakato ya kilofa, watanzania tuna mambo mengi ya kushughulikia ya kimaendeleo zaidi ya mavazi.
 
For sure, watz tuna mambo ya kuzingatia, huu siyo wakati wa kuvaa nguo zenye rangi nne, sare sare, utakua ulofa!
 
Mkuu Dan84 nilikuwa naanza kusahau haka kamchakato. Hivi hakana mwanzo na mwisho? Watupe taarifa nini kinaendelea ili tujue. Majaribio ya kupata vai la taifa hayajawahi kufanikiwa. Sioni haja ya vai la taifa.
 
Last edited by a moderator:
Baba kimbunga, mchakato ulizima ghafla, kama unavyokatika umeme hapa bongo, ila nijuavyo vazi la taifa, ni kitu kinachotokea automatically /kimekuwepo kwa asili.
 
Back
Top Bottom