Je, tumeliwa?

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,790
288,006
<TABLE border=0 width="100%"><TBODY><TR><TD vAlign=top align=middle>
05_10_8qqj8y.jpg
</TD></TR><TR><TD class=kaziBody vAlign=top align=middle>WORKMEN rehabilitate some portions on Kilwa Road which was built with funding from the Japanese government a few years ago and is yet to be handed over to the government of Tanzania. (Photo by Yusuf Badi)</TD></TR></TBODY></TABLE>
 
hatujaliwa,si unajua tena mvua za mwaka huu?zimezidi sana,barabara yoyote repair ni muhimu,ulitaka ikae miaka 10 bila kuguswa mkuu?
 
hapo tuliingizwa mkenge, ndo hao wanachanganya mchanga debe saruji kijiko cha chai kwenye ujenzi....ninini hiyo? kwani walikuwa wanajenga kwaajili ya juwa tu, hawakuwa mainjinia wanaojua kujenga na barabara za masika? hapo lazima fungu la kumi lilishatolewa ikapunguza vitendea kazi,watu wakafanya tu alimradi changa la macho, wakachukua chao na kulala mbele.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom