Andrew
Member
- Feb 14, 2007
- 6
- 0
Wana-JF, nilidhani Mkuu wa kaya angetupatia kitu cha maana sana watz kama vile kuelezea kwa kinaganaga juhudi zilizokwisha fanyika, kitu ambacho kingebakia kama 'Legacy' yake wakati wa kutoa hotuba ya kuazimisha miaka 50 ya uhuru pale kiwanjani, na hata kutoa maono au dira yake 'VISION' kwa miaka mingine 50 inayokuja ambayo ingeweza kuwekwa kwenye kumbukumbu muhimu kwa mstakabali wa taifa. kwa mshangao mkubwa hatukuona ujasiri zaidi ya kuomba msamaha wa kutokuoa hotuba ndefu! je, tunaelekea wapi? maana tunajua tulikotoka!