Je tuhahitaji tena Ze Utamu?

Status
Not open for further replies.
Wengine wamesema kuna picha nyingi za Bush,Clinton,Arafat n.k hawa nao wamechafuliwa sana kwa kupitia mitandao mingine hivi ni sheria gani zilitumika kubeza na kuonya? Je kuna hatua yoyote imewahi chukuliwa kwa kuwachafua hao?
 
It is so sad and am very angry about this

ze utamu naona keshakuwa chizi na anapoelekea ni kuweka picha za baba na mama yake na kwake hataona ajabu, kitendo alichokifanya cha kumchafua raisi wa nchi sio cha kuvumiliwa hata kidogo nawashangaa hata wanao jaribu kuona kitendo hiki si cha ajabu nakufananisha na baadhi ya picha ziwekwazo huko za watu wengine kama vile hawatambui nijinsi gani nchi imedhalilishwa na huyu bedui ambaye hana sifa za kuwa mtanzania!

jamani tusifananishe picha hii na zile za kina nsia ni vitu viwili tofauti, picha hii ya jk imetengenezwa na zile za kina nsia ni picha halisi.kinachonisikitisha ni kwa baadhi ya watu wataoshindwa kutofautisha kati ya picha halisi na hizi za kutengeneza.

naomba wana JF tuungane kupingana na huyu mwendaazimu wa zeutamu.
 
Mwaka wa juzi ule sheikh wangu, na huko ndiko mimi nilipokuwa naelekea....utamu wametoa idea ya kumdhalilishwa Muungwana ktk website hii, kila linaloongewa hapa watu kujifanya wapo outraged na hii kitu ni uzandiki mtupu!!

Duh kweli una kumbukumbu mzazi.........asante kwa kunisahihisha! Mbaya zaidi watu walichoma karibia page 50 na ushee wakisema wanayo hiyo picha ya mheshimiwa, lakini wapi !
 
Hivi watu wanaokwenda kwenye globu ya ze utamu wanakwenda kutafuta nini? Wanalazimishwa na nani? Kwanini watu wasiisusie globu hii?

Hoja yangu ni kwamba kama nchi tuna tatizo kubwa la kimaadili. Ze Utamu ni mojawapo ya dalili (symptoms) za ugonjwa wetu wa kuporomoka kwa maadili.Kufunga ze utamu au wamiliki wake haitasaidia kuondoa tatizo (ni kama kumpa panadol mgonjwa wa malaria badala ya quinine!).
 
i understand UTAMU is a member of JF,what if all members in JF register our concerns by flooding his/her PM box of our displeasure at the current turn of events.
 
Wewe nae....
....siku hizi JF kuna vi thread vya ajabu ajabu vya kujikomba komba.....

......hebu tuletee kidhibitisho cha kuchafuliwa raisi
Mkulu
MWENYE AKILI TIMAMU HAWEZI KUTETEA HUU UDHALILISHAJI.

YEYETO ALIYEFANYA HILI HAJAMDHALILISHA RAIS TU,AMETUDHALILISHA WOTE KAMA TAIFA.

TUNALAANI.

SHERIA ICHUKUE MKONDO WAKE.
 
JAmani nimeshtuka hata kama mtu ana mapungufu yake lakini ni uhdalilishaji, naimaginne ndo angekuwa baba yangu hapa au watoto wake wakiona hivi mnafikiri watajisikiaje na watakuwa wameishaona , na utamu sasa inaangaliwa kila mahali mnafikiri majirani zetu watatufikiriaje nchi nyingi zilizokuwa zinatuheshimu mpaka mtu ajua ni picha ya kuchonga kweli tutakuwa tumepata aibu utamu aitoe tu waliokwisha kuona basi, ni aibu aibu
 
jamani tusifananishe picha hii na zile za kina nsia ni vitu viwili tofauti, picha hii ya jk imetengenezwa na zile za kina nsia ni picha halisi.kinachonisikitisha ni kwa baadhi ya watu wataoshindwa kutofautisha kati ya picha halisi na hizi za kutengeneza.

naomba wana JF tuungane kupingana na huyu mwendaazimu wa zeutamu.

Ina maana kama ingalikuwa picha halisi ya JK ingekuwa halali kuiweka hadharani? Hatupaswi kuwa na double standard linapokuja suala la sheria na maadili!
 
Wewe uliyeenda utamu na kuanza kuperuzi kule unawezaje kuja hapa ukumbini na kunadi maadili? Yeyote anayeingia ze utamu na kuja huku ukumbini na kulialia mimi binafsi simwelewi.

Mnatumalizia bandwidth tu...ala!
 
wapi nimesema web ile inafaa?
nimesema watz wanafiki mnalia lia maadili wakati nyie ndio wa kwanza kukiuka....humu humu JF kuna mapicha machafu machafu yanayokiuka maadili mbona hamyasemi?

Nayo mapicha yaliyo humu ni uharibifu wa mazingira. Yawepo humu JF ama site nyingine yoyote ni ukosefu wa maadili. Nadhani hapa unazungumzia jukwaa la waliokula chumvi nyingi, ambalo sijawahi ingia.
 
Wewe uliyeenda utamu na kuanza kuperuzi kule unawezaje kuja hapa ukumbini na kunadi maadili? Yeyote anayeingia ze utamu na kuja huku ukumbini na kulialia mimi binafsi simwelewi.

Mnatumalizia bandwidth tu...ala!

Picha zimetumwa kwenye e-,ail tangu jana na watu walioona tumezikuta asubuhi kwenye email address zetu
 
i understand UTAMU is a member of JF,what if all members in JF register our concerns by flooding his/her PM box of our displeasure at the current turn of events.

How did you know that UTAMU is the member of JF? by not knowing his/her identity how possible can we address our concern to him/her? Just trying to think aloud!
 
Mhh pole Muungwana. Wahenga walisema "Ukubwa Jalala". Ila please usije tufungia na JF tu. We are together.
 
Mkulu
MWENYE AKILI TIMAMU HAWEZI KUTETEA HUU UDHALILISHAJI.

YEYETO ALIYEFANYA HILI HAJAMDHALILISHA RAIS TU,AMETUDHALILISHA WOTE KAMA TAIFA.

TUNALAANI.

SHERIA ICHUKUE MKONDO WAKE.

Acha ma-emotions wewe ndugu, mapicha kama hayo ni vitu vya kawaida sana na huo ndio utandawazi mliokuwa mnaulilia! Hakuna sheria ya kumbana utamu zaidi ya udikteta, ambao utafeli ktk mikono ya mtandao wa ki intaneti!! Internet ni zimwi, ni kama ile hadithi ya Nunda mla watu......utamu itaendelea kuwepo na vitu kama hivi inabidi muanze kuvizoea!
 
i understand UTAMU is a member of JF,what if all members in JF register our concerns by flooding his/her PM box of our displeasure at the current turn of events.

Son of Alaska. Please kama unafamu ID ya huyu mnyama nitumie kwenye PM yangu nimpatie vidonge vyake.
 
How did you know that UTAMU is the member of JF? by not knowing his/her identity how possible can we address our concern to him/her? Just trying to think aloud!

ME,remembers reading one of his/her comments humuhumu JF,nakumbuka then he/she was trying to tactically announce a new link after the previous one had been closed.i think on this PM,invisible can help
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom