Je TID ni mwizi wa kazi za watu?

Sio TID tu wezi wa kazi mbona wapi wengi tu TID kaiba wimbo wa bendi ya PASADA ya Msumbiji,pia Diamond Music mapenzi kitu gani ni wimbo wa Olomide,haya Banana yeye anashuka bondeni kwa Oliver Mtukudzi,na AKUDO wao wanageuza nyimbo za Ferre na Ipupa.
 
you can say that again...:A S tongue:
 
Back
Top Bottom