Je, TEGO inaweza kuwa kiboko ya uaminifu mume, mke na wapenzi?

mathematics

JF-Expert Member
Feb 21, 2012
3,323
1,105
Kuna siku nilikuwa nasikilza claudz fm kipindi cha leo tena, mtangazaji mmoja akaleta habari ya kwamba ilitokea karibuni huko Kenya mtu aligandana na mke wa mtu! Maskini mume alikuwa amesafiri, mke na hawara wake wa nje wakaona ndio wakati wao wa kuiba, wakaenda faragha wakaanza majamboz, njemba akajimegea walipomaliza wakashangaa haitoki!!! Kumbe mume alimuwekea mke wake tego!

Haikuwa mara ya kwanza kusikia stori ya namna hii, nimeshasikia huko nyuma kutokea huko Tanga / Dododoma lakini nikawa najiluiza pasipo kuwa na majibu nimeona nilete hapa jamvini tuangalie maoni tofauti

Sasa je wana JF naulizza, je sayansi hii yetu ya asili ikitumika vizuri inaweza kusaidia kuboresha uaminifu kwenye mapenzi baina ya wapendanao haswaa mke na mume ?
 
.
Mkuu mathematics

gonja hii link hapo chini utaiona VIDEO yenyewe pamoja na watu waliogandana

https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/265013-kwa-wasio-amini-uchawi-hivi-hawa-watakuwa-wameigiza.html

.
 
unatega nini sasa wakati mke keshamegwa na jamaa lishashusha mzigo sokoni? ingekuwa more effective kama ingekuwa inazuia jamaa asiingie kunako...

Lakini kama ikiwa rasmi labda after ndoa tu ni kwamba mke anawekewa tego, itafanya njemba kuwa waoga kuvamia wake za watu, na wake nao hawatatoka nje!!
 
Sidhani kama ni sahihi kupima uaminifu wa mtu kwa njia za kishirikina!..
Mtu kama by nature sio mwaminifu hata ufanyeje na yeye atafuta mbinu ya kutegua huo mtego..
 
Hii nimewahi shuhudia kule Njombe mwaka 2004. Ni hatari usiombe
 
Hii nimewahi shuhudia kule Njombe mwaka 2004. Ni hatari usiombe

ngonga link hapo juu utaona hao wa kenya waliogandana full aibu na huruma... kwa staili hii watu wataogopa kula wake za watu.... hivyo nahis kwa kias fulani sayans hii ya asili inaweza tumika kuleta uaminifu!!
 
mbona kila mtu anaongea kuhusu wake za watu vp kuhusu wame za watu?wte wanatoka c mwanamke wla mwanaume.Uaminifu uko ktk akili yke na heshma kwa mwenz wke.
 
Back
Top Bottom