Je tanzania kuna computer miss-use act?!!

SHAROBALO

JF-Expert Member
Mar 17, 2011
771
349
Hallow wakuu ningependa kufahamu hili na je nitaipata vipi hii act! au kama kuna maelezo ya ziada yatasaidia pia. thanks
 
Thanx kumbe hakuna. na hawa watu wa mawasilino hawausiki na miss use yaa internet?
 
Mkuu tunaitaji kutembea kabla hatujakimbia..., hizo computer zenyewe za kuziwekea Act zipo wapi?
 
Back
Top Bottom