Je swala la katiba mpya limefikia wap?

Gagurito

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
5,600
803
Ndugu wanaJf, ni muda umepita sasa toka mh. Rais alipotoa msimamo wake, wazo lake juu ya kuanzisha Constitution Review committee itakayo uhisha katiba ya sasa na mahitaji ya wakati huu, na toka lile kongamano la katiba lifanyike pale UDSM ni muda sasa.
Ndugu wanaJF kwa yeyote mwenye taarifa juu ya hili swala atujuze, twaitaji fahamu juu ya mchakato huu km bado upo or umepotezwa kama kawaida, nimeandika hii coz sioni dalili za hiyo michakato then serikali yenyewe ipo kimya!
 
Back
Top Bottom