Je, Spika hukaimu nafasi ya urais?

NgomaNzito

JF-Expert Member
Jan 10, 2008
559
26
Katiba ya nchi navyoelewa kuwa Rais na Makamu wake wakiwa hawapo nchini(wamesafiri) nje ya nchi Spika ndio hukaimu nafasi ya urais hadi
mmojawapo anaporudi,

Mida hii JK yupo Libya kwenye sherehe za Ghadaffi na Makamu Dr Shein kaenda Geneva kwenye mkutano wa Hali ya hewa

Therefore Spika anakaimu???
 
What are u asking then? Umeshaandika ndivyo unavyoelewa basi ndivyo ilivyo........
 
Katiba ya nchi navyoelewa kuwa Rais na Makamu wake wakiwa hawapo nchini(wamesafiri) nje ya nchi Spika ndio hukaimu nafasi ya urais hadi
mmojawapo anaporudi,

Mida hii JK yupo Libya kwenye sherehe za Ghadaffi na Makamu Dr Shein kaenda Geneva kwenye mkutano wa Hali ya hewa

Therefore Spika anakaimu???

Mkuu NgomaNzito nadhani katiba ilishabadilishwa kipindi cha Mzee wa uwazi na ukweli.Atakayekuwa anakaimu ni waziri mkuu mtoto wa mkulima.
 
Lakini this is quite unfair!! yaani mtu unaanzisha mada hufanyi research hata kidogo na title ya mada yenyewe iko conclusive. "Spika Sitta kukaimu nafasi ya urais" kama ulikuwa hujui si ungeuliza swali. Mods lazima mfanye kitu kuweza kufanya Jamii Forums kuendelea kuwa the Home of Great Thinkers. Katiba iko wazi, jinsi ya kukaimu kuko wazi. Ngoma Nzito anakurupuka na kuanzisha thread ambayo haina maana kabisa.
 
Na iwapo Waziri Mkuu atasafiri nje, kaimu rais anakuwa Jaji Mkuu, kwa mujibu wa marekebisho ya katiba. Spika anaweza kukaimu iwapo Jaji Mkuu naye hayupo nchini.
 
Nimeuliza check vizuri bwana mdogo
 
Mkuu NgomaNzito nadhani katiba ilishabadilishwa kipindi cha Mzee wa uwazi na ukweli.Atakayekuwa anakaimu ni waziri mkuu mtoto wa mkulima.

Katiba inatakiwa irekebishwe hapa kuna walakini Pinda hatambuliki Zenj ukitokea mgogoro hataweza kumwajibisha mtu ambaye yupo upande wa Tanzania visiwani
 
Na iwapo Waziri Mkuu atasafiri nje, kaimu rais anakuwa Jaji Mkuu, kwa mujibu wa marekebisho ya katiba. Spika anaweza kukaimu iwapo Jaji Mkuu naye hayupo nchini.

Sikujua hili lakini nadhani mabadiliko hayo ya Katiba yalikuwa na maana ya kupunguza nguvu ya sauti ya wanachi itokanayo na uchaguzi. Kwa vile Waziri Mkuu na Jaji Mkuu ni watu wa kuteliwa na rais, hawatakiwi wakaimu nafasi hiyo ya urais ambayo ni ya kuchaguliwa, lazima ikaimiwe na mtu aliyechaguliwa na wananchi. Watu waliochaguliwa na wanachi ni Rais, makamu wake na indirectly Spika pamoja na naibu spika ambao wamechaguliwa na wawakilishi wa wananchi.
 
Ngoma nzito una hoja, though umeitoa vibaya na ndio maana wenye uchungu na nchi yao wakawa wakali juu yako na kukushauri uwe unafanya research kwanza.

Nia ya kumuondoa spika wa bunge ilikuwa ni kuimarisha misingi ya utawala bora (checks and balances between the 3 pillars). Lakini pia, kuingizwa kwa PM kukaimu nafasi ya urais kwa maoni yangu kuna walakini kwa sababu PM hana mandate zenji! Hoja ipi ilifanya rais wa zenj atolewe katika nafasi ya kukaimu na PM aingizwe?
 
Katiba ya nchi navyoelewa kuwa Rais na Makamu wake wakiwa hawapo nchini(wamesafiri) nje ya nchi Spika ndio hukaimu nafasi ya urais hadi
mmojawapo anaporudi,

Mida hii JK yupo Libya kwenye sherehe za Ghadaffi na Makamu Dr Shein kaenda Geneva kwenye mkutano wa Hali ya hewa

Therefore Spika anakaimu???

JK hajaenda kwenye sherehe kama unavyodai. Kaenda kwenye mkutano maalum wa AU ulioitishwa na mwenyekiti wake ambaye ni Col Muammar Gadaffi wa Libya.
 
Ok, kama katiba inasema kuwa wakiwa hawapo Spika anakaimu Urais,ningemshauri Sita atumie madaraka hayo ya muda kuamuru wale mafisadi wanaotambuliwa na ambao JK ameshindwa kuwakamata kuwaweka ndani kisha JK akija awakute KEKO halafu awatoe yeye nasi tutamwelewa.
Waswahili walisema UKIKIPATA KITUMIE.
 
Ngoma nzito una hoja, though umeitoa vibaya na ndio maana wenye uchungu na nchi yao wakawa wakali juu yako na kukushauri uwe unafanya research kwanza.

Nia ya kumuondoa spika wa bunge ilikuwa ni kuimarisha misingi ya utawala bora (checks and balances between the 3 pillars). Lakini pia, kuingizwa kwa PM kukaimu nafasi ya urais kwa maoni yangu kuna walakini kwa sababu PM hana mandate zenji! Hoja ipi ilifanya rais wa zenj atolewe katika nafasi ya kukaimu na PM aingizwe?

Una maana gani PM hana mandate Zenj? Wakati anakaimu si anakuwa na madaraka ya urais ambayo yanafika mpaka Zenj?
 
Ok, kama katiba inasema kuwa wakiwa hawapo Spika anakaimu Urais,ningemshauri Sita atumie madaraka hayo ya muda kuamuru wale mafisadi wanaotambuliwa na ambao JK ameshindwa kuwakamata kuwaweka ndani kisha JK akija awakute KEKO halafu awatoe yeye nasi tutamwelewa.
Waswahili walisema UKIKIPATA KITUMIE.

Unafikiria kukamata kamata tu bila ushahidi wa kutosha kama ilivyokuwa kwenye kesi ya Zombe ambapo Serikali imepata aibu ya mwaka?
 
kazi ipo, ila yote kwa yote rais asiwepo, makamu wake asiwepo, PM asiwepo bado nchi itaendelea kuwa na amani
 
Back
Top Bottom