Je simu za mkononi zinachakachua mahusiano tofauti na enzi za mwalimu

BUMIJA

JF-Expert Member
Oct 19, 2011
5,818
11,000
Je wewe unadhani simu za mkononi zinaboresha mahusiano ama ndo chanzo cha uovu katika mapenzi na ndoa zetu
 
mie naona zinaleta urahisi wa kusalitiana na pia katika urafiki zinaboa maana unakuta mmekaa alafu mtu yupo kwenye simu anachat....
 
Je kama anachati mambo y kawaida kuna madhara
 
Simu hazihusiki na chochote when it comes to kuboresha au kudhoofisha mahusiano, lakini uadilifu (tabia zao) wa wapenzi unahusika katika hilo

Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom