Je siku ukimkuta mtu chumbani kwako kalala na mpenzi wako utachukua hatua gani...?

i.jpg
.
 
mi mkali kama simba. Hahahaha!
Nakutania mwaya, mi mpole sana. Ninapokuwa na hasira to the maximum huwa nashindwa kufanya chochote yaani upole ndio unazidi.
Najua tukio hilo litanipandisha hasira.
Wenye hasira sana nadhani wanaishia kutokwa na machozi huku wakitoa sauti kama za kwikwi vile....nawe pia? Mimi huwa naona nyota kisha napoteza fahamu
 
Back
Top Bottom