je serikali ya jamhuri ya muungano wa tanzania haihusiki na sakata la spice lander?

majata

JF-Expert Member
Oct 7, 2010
431
179
wajumbe nimetoka kuangalia video ya maafa ya meli, ukweli nimeumia sana na wasiwasi wangu umeongezeka sana kuhusu ajali hizi zinazosababishwa na uzembe wa serikali kupitia mamlaka zake, hivi serikali ya muungano haihusiki ktk hili? Naomba mheshimiwa mbunge yeyote mjumbe wa jf aianzishe hii kitu bungeni isipite hivihivi tafadhali sana.
 
Mkuu usafiri wa majini si suala la muungano ndio maana SUMATRA walifukuzwa toka huko Zanzibar!!
 
Back
Top Bottom