Je serikali imejipaka kuwafukuza na kuwafutia usajili madoctor?

Kabachubya

Member
Oct 6, 2009
87
10
Kama ni kweli basi itakuwa inasikitisha sana, wananchi mbona tumelala sana? hawa mafisadi na wala rushwa hawawezi kuongoka hivhivi tu. Let us do something for this situation.
 
Back
Top Bottom