Je sasa ni muda muafaka kwa kampeni za Urais 2015?

mmaroroi

JF-Expert Member
May 8, 2008
2,960
544
Kuna tetesi kuwa mnyukano kati ya UVCCM na viongozi wastaafu wa CCM ni agenda ya Urais wa 2015, je hii ni kweli? Na kwamba Rais ndiye anayemjua Rais ajaye ni sahihi? Kwanini viongozi wetu hawajikiti kutekeleza sera walizoahidi na kuacha malumbano? Viongozi sasa wameshupalia kwa babu na malumbano, je hii ni ishara kuwa sera walizahidi hazitekelezeki?
 
Back
Top Bottom