JE RAlS WETU ANAROGWA?

Sumbalawinyo

JF-Expert Member
Sep 22, 2009
1,282
247
Nahisi kuna mchawi anamroga raisi wetu.
Kuanzia ameingia madarakani mauzauza yamekuwa yakimuandama kuliko raisi mwingine yeyoyote aliyemtangulia.
Mara rais wetu aanguke jukwaani, mara watu wamvae jukwaani na kumkaba, mara msafara wake upigwe mawe, mara msafara wake ung'oke magurudumu, mara shutuma za kufunga watu kwa visa vya mapenzi, yaani ni zengwe moja kwa moja.
Wananchi tuna jukumu kubwa la kumuombea raisi wetu, maana bila maombi yetu wachawi watamuangamiza.
 
Hivi kupigwa mawe, kukabwa, gari kupata hitilafu nayo ni matukio ya kurogwa?! Ukiwa na imani ya uchawi basi kila tukio kwako litakuwa la kichawi!
 
Nahisi kuna mchawi anamroga raisi wetu.
Kuanzia ameingia madarakani mauzauza yamekuwa yakimuandama kuliko raisi mwingine yeyoyote aliyemtangulia.
Mara rais wetu aanguke jukwaani, mara watu wamvae jukwaani na kumkaba, mara msafara wake upigwe mawe, mara msafara wake ung'oke magurudumu, mara shutuma za kufunga watu kwa visa vya mapenzi, yaani ni zengwe moja kwa moja.
Wananchi tuna jukumu kubwa la kumuombea raisi wetu, maana bila maombi yetu wachawi watamuangamiza.

Imani potofu
 
Hayo matukio sio ya kichawi, hiyo ni imani potofu tu.

Sioni haja ya kumwombea maana simpendi, anakumbatia mafisadi na kututesa sisi wanyonge.

Ningekua mchawi NINGEMROGA
 
Nahisi kuna mchawi anamroga raisi wetu.
Kuanzia ameingia madarakani mauzauza yamekuwa yakimuandama kuliko raisi mwingine yeyoyote aliyemtangulia.
Mara rais wetu aanguke jukwaani, mara watu wamvae jukwaani na kumkaba, mara msafara wake upigwe mawe, mara msafara wake ung'oke magurudumu, mara shutuma za kufunga watu kwa visa vya mapenzi, yaani ni zengwe moja kwa moja.
Wananchi tuna jukumu kubwa la kumuombea raisi wetu, maana bila maombi yetu wachawi watamuangamiza.

Inamaana tumefikia hatua hii kweli na kuanza kufikiria hadi ushirikina? je yawezekana kweli akawa analogwa? Wote tulimwamini sana huyu Rais kwa matumaini ya kuongoza kwa haki na kudhibiti mapato na matumizi ya serikali, Kulinda rasilimali ya taifa kwa manufaa ya wananchi wote pamoja na kuboresha maisha ya mtanzania wa kipato cha chini -
Lakini je kipi kimempata nini huyu kiongozi wetu?

Kila mmoja amekuwa akifikiria la kwake, kwa mfano wengine walisema ni Marafiki / Washauri wabovu, Woga wake wa maamuzi, Hataki aonekane mbaya kwa baadhi ya watu akiwashughulikia, Hatumii muda mwingi kufanya kazi nchini na mengine mengi sana

Ila Sumbalawinyo kaja na mpya kwamba jamaa wanamloga kiongozi wetu - je tuamini hili?

Binafsi sina imani ya hili jambo nachoweza kusema kuna weakness kwenye uongozi mzima wa serikali ndiyo maana imefikia hatua watu kusema mambo mengi na wengine hadi kufikia kusema jamaa analogwa.
 
We Sumbalawinyo! kwanza acha kuamini Ushirikina! Na Kama ni kweli basi. Mshauri Rais amwamini Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wake. Yote hayo yataisha!
 
siye tutajuaje kama analogwa si umuulize Mganga wake Sheikh nani sijui
 
Yaani best siyo kila hazard linalotokea liko kwenye ushirikina. Anyways, bahati nzuri umeuliza swali siyo statement yenye conclusion!
 
nani anaweza kumroga? msisahau anatokea Bagamoyo. makamu wake anatokea Pemba. waziri mkuu kwao Sumbawanga. sehemu hizi zote haziwezekani kwa ndumba. nyie mlie tu.

macinkus
 
nani anaweza kumroga? msisahau anatokea Bagamoyo. makamu wake anatokea Pemba. waziri mkuu kwao Sumbawanga. sehemu hizi zote haziwezekani kwa ndumba. nyie mlie tu.
Kwahiyo nchi inaongozwa na vigagula sio? ndio maana macatcat anasumbua kitaani. Karibu itaundwa Wizara ya tiba mbadala na shirki kwa Kikristo ( Ministry of Spiritual Rituals)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom