Je, Rais Hajui maana ya Neno "SIJUI'??? Tumsaidie

aisee hata mimi sijui kwa nini tuko hapa belinda heheheeeeeeeeeeee UTINGO unajua???
 
Waungwana, basi tumwache tu maana ni wazi kuwa HAJUI wajibu wa Rais na ni kwa nini yeye ni rais wa nchi, inaonekana pia hata yeye mwenyewe HAJUI ilikuwaje akawa Rais na hata watanzania HAWAJUI nini kilitokea mpka jamaa akawa Rais wao. Sisi sote HATUJUI, lakini wakati UNAJUA mustakabali wa taifa hili lenye baadhi ya wananchi WASIOJUA nini cha kufanya.

Mtu kama HAJUI na bado HAJUI kuwa HAJUI hawezi kujua kuwa HAJUI=..................................what happened mpaka akawa president, who blinded us ikiwa bado hajui na kila siku anakiri kuwa hajui?

Basi tuamue kwa pamoja kumsamehe huyu Baba wa mwenzetu
 
sijui hata mimi na ndo mana alisema hajui kwanini watanzania ni masikini kweli hajui nimeamini sasa tumwache kwa kuwa hajui na je ni kweli kuwa hajui au anajifanya hajui ,
 
ooohhh . du tatizo na mimi sijui kama JK hajui kwamba watanganyika hawajui kwamba yeye ni mkulu wao
 
Isiwe taabu, Yule ambaye hajui na anajua kuwa hajui, muelimisheni atajua vizuri tu.
Lakini yule ambaye hajui na hajui kuwa hajui mwacheni aendelee na kutokujua kwake,
maana hata mumtwange kwenye kinu pamoja na mpunga atabaki kuwa HAJUI.
 
Una maana....
 
Back
Top Bottom