Je picha hizi zimebeba ujumbe gani?

namuhurumia huyo dogo wa picha ya kwanza, naona kashaanza kuvalishwa jezi wakati hata kusoma pengine hajui, ndo tushampoteza hivo
 
Hiii maana yake ...food, cloth and shelter 4 this particular period of ph*****ick time
 
Hii inaonyesha kulikuwa na mnuso hapo hadi na hayo mandoo tena lol!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom