Elections 2010 Je picha hizi zaonyesha ushindi Igunga?

Ushindi kama wa Padri Slaa? tutakuwa wote mtaani Mkuu

mh! ushaimadrasa hii thread! dah! si ww bali ni chuki binafsi ndani ya moy owako dhidi ya cdm, na pia chuki hiyo si chuki kavu bali yenye mbolea ya udini ndani ya moyo wako haitoshi bado si chuki yenye udini tu bali yenye itikadi
ya kuaminishwa na watoa hoja kurupushi za walio kuminishwa istoshe dini zetu tulisha ziteketeza na kufuata za wanyenazo.
ni hayo tu
 
Itakuwa kama Tarime tu. CUF na CDM watagawana kura za upinzani na kuiacha CCM ikihitaji kuchakachua kura kidogo tu waibuke kidedea.
 
CHADEMA kamwe hawatashinda pale si km....,hata mkija na mamluki mmeshabwagwa,kaeni chonjo mkijiandaa na kilio cha aibu km kilivyokuwa kwa babu slaa

tuambie ccm mmekuja na mbinu gani ya ushindi zaidi ya hii yakutumia police maana mkishaona mbaya ndo zenu
 
Acha kuhemukwa kama dada aliye ktk siku zake,ama pamba zinavujisha,au umeshatoka jifungua naona unapukutika tu.

bado hizi ni shanga, nasema toa SHANGA ZAKO HAPA. ww dada zipeleke kwenye upatu! au zifunge vizuri kiunoni maana zinamwagika hovyo hovyo.
 
Itakuwa kama Tarime tu. CUF na CDM watagawana kura za upinzani na kuiacha CCM ikihitaji kuchakachua kura kidogo tu waibuke kidedea.
Ina maana hakuna uchaguzi ambao CCM inashinda bila kuchakachua?
 
bado hizi ni shanga, nasema toa SHANGA ZAKO HAPA. ww dada zipeleke kwenye upatu! au zifunge vizuri kiunoni maana zinamwagika hovyo hovyo.
Upatu tena,umekumbuka DECI nini,walikuliza?usijilinganishe na mimi,rudi kwenye kazi yako ya kupiga kinanda
 
View attachment 38132
Ippmedia imetoa picha ya wananchi wa KIJIJI MWAMASHIMBA waliofurika kisawasawa katika mikutano ya CUF na CDM jana, na kwa sababu tumekuwa tukitumia picha kama kielelezo kimoja wapo cha ushindi picha hizi zinatoa changamoto muhimu sana. Tuchukulie kijiji hiki kama kipimo cha nani atapata kura nyingi kati ya CUF na CDM, Je ni rahisi kutoa uamuzi nani atashinda kwa kuangalia picha hizi?, Je wingi wa watu ni kipimo sahihi cha kumtambua mshindi? Tatu, kama CUF/CDM watazoa kura za watu wote hawa CCM wana kitu kweli hapa ikizingatia kijiji hiki ndio Kafumu amekuwa akijivunia kuwa mlezi wa vijana wao.

Nawasilisha

Jibu langu kwa swali lako kwenye subject ya thread ni kuwa picha ulizo-post haziwezi kuwa zinawakilisha ushindi wa chama chochote.

Hizo picha zinaonyesha hamasa (ambayo inaweza kuwa shauku tu ambayo huwaga ni typical feature kwenye maeneo mengi ya vijijini/wilayani kunapokuwa na matukio ya aina hii - chukulia mfano wa mbio za mwenge, wiki ya nenda kwa usalama barabarani, etc).

Picha hizi ni za kuwapa matumaini wafuasi wa vyama ambao wakati wa kutambiana huzitumia kama kigezo cha kukubalika - kama ilivyo hapa jf.
Lakini linapokuja suala la uchaguzi.....my friend, this is a different league altogether, league ambayo viongozi wanatakiwa wawe tactical zaidi kwenye kampeni kuliko kuridhika na kuona makundi makubwa ya watu kwenye rallies zao.

Nilichokieleza wala si kitu kutoka sayari nyingine..... ni jambo ambalo kila mtu (wakiwemo Slaa, Mbowe, Lipumba, JK, Nape) anajua kuwa huo ndio ukweli wenyewe!
 
tuambie ccm mmekuja na mbinu gani ya ushindi zaidi ya hii yakutumia police maana mkishaona mbaya ndo zenu
Mbinu mpya ni kujilipua kama Dr Slaa na wenzake,halafu mnatangaza ushindi kabla ya kupiga kura na kutangaza baraza la mawaziri,vp na Igunga,nasikia mmeshinda kwa asili ya mara au asili ya mbeya au kwa asili ya wapi,asili ya mia,pwaa mmeshajilipua,na jamaa wa igunga karibuni nae ataugua wazimu km Padri
 
mh! ushaimadrasa hii thread! dah! si ww bali ni chuki binafsi ndani ya moy owako dhidi ya cdm, na pia chuki hiyo si chuki kavu bali yenye mbolea ya udini ndani ya moyo wako haitoshi bado si chuki yenye udini tu bali yenye itikadi
ya kuaminishwa na watoa hoja kurupushi za walio kuminishwa istoshe dini zetu tulisha ziteketeza na kufuata za wanyenazo.
ni hayo tu
Naam vivyo ndivyo mlivyofunzwa km yeyote anayeipinga cdm,basi ni mtu wa madrassa,umeshanasa wewe,sasa hata mimi ni mtu wa imani ya madrassa ndiyo siruhusiwi kusherehekea ushindi wa Padri oh no,wa Dr Slaa?anyway basi nitasimama pembeni nikiwaoneshea alama ya dole gumba
 
uc ogope imani
inatugawanya kizembe kakini
wenye nazo origno hawagawanyiki
 
Acha kuhemukwa kama dada aliye ktk siku zake,ama pamba zinavujisha,au umeshatoka jifungua naona unapukutika tu.

Aisee taratibu mkuu unadhalilisha wanawake hapa hizi sio lugha stahiki kwenye hili jukwaa
 
yaani wewe ni mtu mwenye chuki sana na watu wengine.pia wewe ni mdini hamna mfano wake.huna tofauti na wale wanaojilipua

halafu anadanganywa eti akiishajiklipua amapewa wanawake wazuuuuuurrri mabikra wote wake kama swawabu!! Ndio tatizo la kutoenda shule hao wanawake utawafanya nini ilihali umeoza na pumzi yako imerudi sawa upepo....acha ujinga maisha hapa hapa duniani mkali!
 
View attachment 38132
Ippmedia imetoa picha ya wananchi wa KIJIJI MWAMASHIMBA waliofurika kisawasawa katika mikutano ya CUF na CDM jana, na kwa sababu tumekuwa tukitumia picha kama kielelezo kimoja wapo cha ushindi picha hizi zinatoa changamoto muhimu sana. Tuchukulie kijiji hiki kama kipimo cha nani atapata kura nyingi kati ya CUF na CDM, Je ni rahisi kutoa uamuzi nani atashinda kwa kuangalia picha hizi?, Je wingi wa watu ni kipimo sahihi cha kumtambua mshindi? Tatu, kama CUF/CDM watazoa kura za watu wote hawa CCM wana kitu kweli hapa ikizingatia kijiji hiki ndio Kafumu amekuwa akijivunia kuwa mlezi wa vijana wao.

Nawasilisha

Kama CCM watadhibitiwa hiyo kesho wasiweze KUCHAKACHUA KURA ZA WANAIGUNGA, surely THERE IS NO MATCH FOR THEM!
Ni kwa kuiba kura tu CCM ndo wanaweza kushinda Igunga. Nje ya hapo they are doomed!

Baba Ng'wana Kashindye MAKARIBU DODOMA GWI BUNGE LISE!!!

Wabeja baba.
 
CCM ina mvuto sana ktk maeneo ya kijijini hasa kaskazini ktk tarafa ya Igurugi yenye kata za Itumba, Kingiringirina, Itumba, Mbembezi na Mbutu. Kati ya watu 10 waliohojiwa 6= ccm.
Maeneo haya uelewa wa watu ni mdogo sana na wengi wao ni wafugaji. Waliojibu kuwa wataichagua ccm kwa sababu ndo chama walichokuwa nacho tangu zamani. Uelewa ni mdogo kiasi kwama hawajui hata baadhi ya vyama vinavyoshiriki uchaguzi wa Igunga, utafiti uligundua.
%

Kwanini unawadhihaki watu kwa kuwaita na kusema kuwa UELEWA WAO NI MDOGO? Hivi hii ndio tabia ya CDM ya kutukana watu na kuwaita hawana uelewa?
 
attachment.php
 
Back
Top Bottom