Je Niudhaifu Wa Rais wa JMT??

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,596
Nashindwa kuelewa kama ulikuwa udhaifu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano waTanzania kuruhusu zanzibar kurekebisha katiba yao kabla Yakurekebishwa katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania??Kwani sikupata kusikia wakati wa Ml,Julius Nyerere Zanzibar ikibadrisha katiba kabla ya kupitia ya JMT au ilikuwa ikifanyika tujuzeni!!
 
Back
Top Bottom