Sijui lakini hali ni tete ikiwa wiki 30 ni siku 180 yaani Januari yote hadi mwisho wa June. Ukichukulia siku 12 ulizokuwa hupo Januari. Lakini inawezekana ni kuwa madaktari hawako sahihi na hizo wiki 30 bali ni hesabu ya kukisia tu.
Mke wangu mimi anasema akiamka asbuhi ya pili basi anajuwa kama goli limetinga! Roho mganga, kama unamwamini mkeo basi mwamini tu!
Mmhh pole ila kama umesema uko nje ya nchi woga wa nini?! siku hizi hamna blabla DNA ipo kwaajili ya watu kama nyie, so mtoto akishazaliwa kampime then usiache kutujulisha na sisi matokeo, BEST WISHES!