sioni tatizo hapo
ili mradi muende kuolewa kidini
huo undugu wa kupitia 'alizaa na nani' si kitu
wewe hakikisha unaolewa kidini na waeleze mapema viongozi wa dini hofu yako....
binafsi sioni tatizo
Nimekusoma Mkuu. Asante kwa ushauri. Na je haina mgogoro kidini au Kijamii?
Mashalaaaa! Asante kwa mwongozo. Je kuna issue kidini?
halafu ingawa wote ni Wakristu lakini tu madhehebu tofauti.
Ni kweli kwa namna ulivyoeleza. Je hiyo ni sababu tosha ya kuzuia kuoana?
hebu fikiria kuwa ingekuwa ni siri huijui?ungefanyaje?ungeeolewa tu
so wapo wengi wanaolewa na ndugu zao bila kujua......
ndo maana dini inatambua 'mahusiano ya ndoa tu'
kama mama yako angeolewa ndoa rasmi na baba yake huyo kijana ingekuwa hadithi tofauti...
for now,wewe olewa tu..........
Kwa stail hiyo msizidhulum nafsi zenu,Best sasa hizi mila nimuulize nani katika Mchanganyiko huo hata lugha moja siijui.
Huyu Mwanaume A, yeye yuko tayari kunioa ila naye anapenda tupate uhakika kama haitakuwa na shida baadaye.
Kwa mfano wewe ungekuwa na kaka, ambaye labda mmezaliwa baba mmoja.. ungekubali amuoe C? ukipata jibu basi utajua decision gani ufanye..
Mimi si Mtoto wa baba yake A. Tafadhali soma vizuri post kuu.
Unaweza usiione hiyo shida leo lkn ipo. Mdogo wako wa kike anakuwa wifi gafla na kaka yake wa damu anakuwa shemeji, mtoto mtakaye mzaa sijui atamwita shangazi au mama mdogo? Hapa kwa kweli........mashikholo magheni mayoh.
Kwa stail hiyo msizidhulum nafsi zenu,
Mbona wao walichanganyana mpaka imefika mahali hata haieleweki nani ni nani mpaka wamepoteza na mila zenyewe,
Km wenyewe mnapendana hope na wao kwa walichkifanya watakubaliana nanyi,
Oaneni tu kwan mtakuwa mnaendeleza walichokianzisha wao!
Mmh kwangu mimi ni no! Kimaadili haiko poa..na huyo kaka hakuwahi kuishi nae
amekutana nae ukubwani?
why not asimuoe c??????/
loh anaonekana au ni kweli? Usije ukaingia choo cha kiume shosti mjini hapaasante best nimekusoma. Jamaa anaonekana ni "bonge la bwana" lol