Je,ninaweza kupata UBC, KBC na Citizen TV kwenye dish la futi 6?

Elai

Senior Member
May 26, 2011
154
9
Kama ndivyo, ninaomba frequency, symbol rate na satelitte zinapopatikana. Ninatanguliza shukrani.
 
Niliwahi kuwekewa frequency za Citizen ya Kenya kwenye dishi la futi 6 na fundi. Tatizo lake ni kwamba kule chini kwa kurekebishia inabidi ushushe chini kama inchi moja hivi na channel nyingine zinapotea inabaki hiyo CITIZEN peke yake nikaachana nayo na hata frequency zake pamoja na LNB sikumbuki. Ni kazi ya kushusha na kulegeza kwenye vyuma vya chini.
 
Unapata cetizen kama utaweka ku lnb ya tatu juu yenye chanel za btv, press tv nk.
 
Citezen tv @ 68.5e
freq- 12578 sr 3100
hii huwa kuna mda haina signal kwa hiyo jaribu muda wote.
 
Citezen tv @ 68.5e
freq- 12578 sr 3100
hii huwa kuna mda haina signal kwa hiyo jaribu muda wote.

Pia kwenye C band inapatikana kwa frq 3.578v2886 hapa unazungusha dish kidogo kurudi kushoto kwako,digrii 62 E. Itv,captl,na Eatv zinabakia,ila zingine zote zinapotea.
 
Hapa sie wa ving'amuzi na cable operator hatuna cha kuchangia though channel zote tunazipata, ila huo ujuzi wa ku-search hizo channel tunahitaji for future use
 
Back
Top Bottom