Je nimkubalie?

What goes around comes around..! Achana nae kwa Heshima ya mchizi..! Wanawake wajinga sana!!
 
Hisani za watu wa marekani zinaharibu taifaaaaaaaa!, hata hili unaomba ushauri!
 
Muulize hana maali pa kulala?
Siku zote ana lala wapi?

Ukimaliza mwambie alale anapo lala kila hiitwapo leo!
 
he!....ukatae kwa nini.....? mwambie aje.....mwenyewe ndio kakuambia halafu ukatae.....unanshangaza......
[/QUOTE/]kwahiyo akuye alale nae fasi ya mukitanda?le madame akipata grande ventre akuye hapa kuomba ushauri kwa bhandugu!
 
Hi, wanaJf!
Ninaomba ushauri wenu wa haraka. Kuna demu ni mtu wa karibu sana na mpenzi wangu. Jana akaniita sehemu na kuniomba leo aje alale kwangu maana anajua mpenzi wangu amesafiri kikazi!
J? nimkubalie?

Ha haa mechi haijaanza tu ? kama unataka Kamisaaa ,referee na linesmen kwa ajili ya hiyo mechi niko hapa ni pm.
 
Kuwa msimamo wewe atakuwa ana pepo la ngono huyo mpotezee%-)
 
Piga mzoga huo umepotea njia, wenzio wanahonga nyumba na magari kuupata mzigo we unapata bure unauliza umkubalie???!!!
NB: Kua makini isije ikawa tego.
 
Sounds like one night stand.....hivi, seriously, dada zangu naomba mniambie ukweli...whats wrong with one night stand? I mean mnapendana na mpenzio kabisaaaa....mwanaume kama hivyo mwanamke kajilengesha, nikala hapo kausiku kamoja tuu...na bado nampenda mpenzi wangu....whats wrong with that? (wanaume mtakaochangia mchukulie scenario kwamba mpenzi wako wa kike kapigwa one stand...lakini anakupemda bado, whats wrong with that?)..
Riwa chukulia ni mkeo umesafiri akachukuliwa na rafiki yako tena wakaribu utajisikiaje? mimi naona haina haja ya kuogopa binadamu ni bora kujua Mungu ajua siri/matendo yetu kila tufanyalo na hata kabla hatujalitimiza
 
Piga mzoga huo umepotea njia, wenzio wanahonga nyumba na magari kuupata mzigo we unapata bure unauliza umkubalie???!!!
NB: Kua makini isije ikawa tego.
unaweza ukawa mzonga kumbe wewe ndio kwanza unaenda kuwa mzonga baada ya kupata kaugonjwa ketu aka hiv
 
Back
Top Bottom