Je nimkubalie?

Apr 7, 2012
47
55
Hi, wanaJf!
Ninaomba ushauri wenu wa haraka. Kuna demu ni mtu wa karibu sana na mpenzi wangu. Jana akaniita sehemu na kuniomba leo aje alale kwangu maana anajua mpenzi wangu amesafiri kikazi!
J? nimkubalie?
 
Je? nimkubalie?

he!....ukatae kwa nini.....? mwambie aje.....mwenyewe ndio kakuambia halafu ukatae.....unanshangaza......
 
Achana naye kwanza hana adabu, vipi aje kulala kwako wakati rafiki yake hayupo.

Mwanamke kama huyo simsogelee kabisa mana hana amani :biggrin:
 
he!....ukatae kwa nini.....? mwambie aje.....mwenyewe ndio kakuambia halafu ukatae.....unanshangaza......

safi sana preta_hakuna sababu ya kutompenda mtu akupendaye bhana.....go go goooooooooooooo_just be carefull,..ukiki ni hatari kuliko ukimwi.
 
Achana naye kwanza hana adabu, vipi aje kulala kwako wakati rafiki yake hayupo.

Mwanamke kama huyo simsogelee kabisa mana hana amani :biggrin:

Umeongea kidingi zaidi_ fazaa,vijana tunasema mtoto akililia wembe.......!...lakini lazima awe na mvuto bhana
 
Fikiria yafuatayo.
Je unadhani ni vizuri?
Je haitaathiri mahusiano yenu na huyo rafiki yake?
Je kuna sababu gani ya yeye kutaka kuja lala hapo kwako?
Je moyo wako umedhamilia kufanya hivyo?
Pili huyo rafiki yake akifaham haitakuwa sooo?

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Kaka jilie vitu hivyo,ila usisahau buti na uwe makini na kuibiwa vitu humo ndani kwako maana hujui nia yake pia hakuna kulala,ukishashiba mwambie atambae maana unaweza ukasinzia kwa uchovu akakutenda kama ana nia mbaya.
 
Ahhhh mzee, Mwambie aje mapema asije usiku ukiwa una usingizi tayari maana unaweza ona uvivu kumfungulia mlango au geti.
Akija usituulize tena maswali kama "anataka kulala kitanda kimoja na mimi, Je nimkubalie?

Hapo utakuwa unatuchosha.
 
Hi, wanaJf!
Ninaomba ushauri wenu wa haraka. Kuna demu ni mtu wa karibu sana na mpenzi wangu. Jana akaniita sehemu na kuniomba leo aje alale kwangu maana anajua mpenzi wangu amesafiri kikazi!
J? nimkubalie?

Una miaka mingapi?
 
usikubali huwez jua rafiki yake anaweza akawa amemtua vilevile kuwa mwaminifu kwa mpz wako huyo na tofauti na mpz wako so hakuna jipya utakalopata zaid ya matatizo tena mwambie asikuzoee,anajambo lililoko ndani ya moyo wake analotaka kukufanyia
 
usikubali huwez jua rafiki yake anaweza akawa amemtua vilevile kuwa mwaminifu kwa mpz wako huyo hana tofauti na mpz wako so hakuna jipya utakalopata zaid ya matatizo tena mwambie asikuzoee,anajambo lililoko ndani ya moyo wake analotaka kukufanyia
 
he!....ukatae kwa nini.....? mwambie aje.....mwenyewe ndio kakuambia halafu ukatae.....unanshangaza......

Sounds like one night stand.....hivi, seriously, dada zangu naomba mniambie ukweli...whats wrong with one night stand? I mean mnapendana na mpenzio kabisaaaa....mwanaume kama hivyo mwanamke kajilengesha, nikala hapo kausiku kamoja tuu...na bado nampenda mpenzi wangu....whats wrong with that? (wanaume mtakaochangia mchukulie scenario kwamba mpenzi wako wa kike kapigwa one stand...lakini anakupemda bado, whats wrong with that?)..
 
Back
Top Bottom