Je nimemjibu jamaa vibaya kuhusu mchumba wangu??

Nashukuru sana kwa mawazo yako mazuri nimefurahi sana, na vile vile nimeshafanya kama ulivyosema toka jana muda ule ule nilifanya, nashukuru sana, pia alitumia simu ya jamaa yeye ndio alianza kuonea then ndio akampa huyo jamaa mwenyewe, ndio maana sikuamini kabisaa ikafikia nikamuuliza jina lako nani maana nilishasikia sauti yake na jinsi alivyoniambia nikawa shocked,Daaaa na wewe pole sana tena sana kwa yaliyokukuta kwa kweli ni mwenyezi mungu ametuepusha na mengi plus nadhani hawajui nini wanataka ndio maana. Daaa pole sana kwa kweli.....
UMEGEUKA TENA KUNIONEA HURUMA TENA HAWA WATU WAPO SANA KAKA ,UNAWEZA UKAWA UNALALAMIKA NAUMWA SASA NAUMWA KWELI KWELI UKAENDA PALE OCEAN ROAD UKAWAANGALIA WAGONJWA UNAWEZA UKAPONA KABLA YAKUMUONA DOCTA ,usijali haya mambo yapo ili dunia izunguke kwenye mhimili wake kwa siku 365.25na ili itokee usiku na mchana.
 
huyo mwanamke hafai,ila ingekuwa mimi,ningemueleza ukweli huyo jamaa,ila aelewe ni mwanamke wa aina gani.kama aamue kuwa nae ni sawa.kwa nini wanawake tunajidhalilisha hivi.ila nakuomba usihisi wanawake wote ni wabaya,u never know,ipo siku utampata mtu ambae atakuwa muaminifu
Kisukari hiyo tunaiita fumbo mfumbie mjinga mwrevu alingamue hamna haja ya ushauri hapo wacha wakapasuane ubongo.
 
Mi nataka kuamini kuwa hii ni gia mpya wamekuja nayo wadada...imenitokea hivi karibuni though sio serious kama yako na kwangu ilikuwa ni nyumba ndogo ambayo nilikuwa nayo for 6 months na niliaminishwa kuwa mi ndo stering mwenyewe.Hapa juzi kati nikaona message kuwa ''Tafadhali linda ndoa yako na mi nilinde mahusiano yangu tusiwasiliane tena''.Sikuamini kama yalikuwa ni maneno ya laazizi nyumbba ndogo nikapiga simu akapokea huyo mtawala mpya na kuanza kunipiga mkwara mbuzi kuwa nikae mbali na wake wa ubani other wise atanilipua kwa wife kwani anafahamu anakofanya kazi na ananifahamu vizuri.Nilikata simu nikiwa mpolee na sasa kila mtu akiniangalia mara 2 2 tu nahisi sijui ndo atakuwa jamaa mwenyewe!!!

Mkuu nimecheka sana aiseee daaa sio mchezo kwa kweli, yaani hapa sina mbavu umeanza siku yangu vizuri, ulikata simu kwa kuogopa kulipuliwa au sio??na sasa hivi hujistukii sasa ukikutana nao??inaweza kuwa ni gia mpya ya kutuchezea akili.Maana unaweza kuuliza swali ukaambiwa hamna usijali kabisa.Pole sana ndugu yangu

Daaa mkuu imeniuma sana hii kitu sio kidogo kwa kweli, me huwa naumia sana nikiona mtu unamuuliza akuambie ukweli then anakuja kukufanyia mambo ya ajabu. I mean hiki kitendo sitokuja kukisahau maishani mwangu.
 
Pole sana mkuu ila kuna siku atakukumbuka tena wala si nyingi, wengi yamewatokea haya mambo. Congrats for your emotional control

Nashukuru sana ndugu yangu kwa mchango wako. Yeah sikutaka kupanic kwa anythin kila kitu nimemuachia mungu pamoja inauma sana sio kidogo.
 
Nashukuru sana mkuu wangu kwa majabu yako ya kutia moyo,kwa kweli jana ilikuwa siku mbaya sana tena sana sio kidogo,yeah mkuu she is not worth kitu kingine hajawahi kuniambia ana problem nikashindwa kumsaidia kwanza ndio nilikuwa namuuliza kama anahitaji msaada wowote,still siamini,wanawake sijui wengine wana tabia za aina gani.Pia inaonekana wanagombana sana coz time naongea na jamaa demu alikuwa kama anajitetea fulani jamaa akawa anamwambia shup pumbavu,si unaona sasa??

Nashukuru sana mkuu.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

Najua si rahisi na ni wakati mgumu kiasi gani unapitia, lakini no matter usiku mrefu na wenye giza nene kiasi gani; asubuhi hatimaye huja.

Usijilaumu kwamba hukumfanyia hiki au kile, ni tatizo lake mwenyewe na you are a better man na unadeserve the best. Namuonea huruma huyo dada l wish watu wangejifunza kwa makosa ya wengine. She will be the one to cry; sometimes tunakuwa attracted na mtu anayetudominate na kutumanupulate na kuacha magentlemen like you. Yeye ndio kapoteza na si wewe!

Cheer up.
 
Comrade Papizo wadau wameongea yote nami maneno ya kusema yananikosa hakika baada ya kuzisoma comments za watu humu ulipata tahafifu kubwa sana,take this "Life Goes On"
 
kaka unaambiwa LIKUEPUKALO, LINA KHERI NA WEWE...so ni kumshukuru Mungu kwa kukuokoa na balaa hilo maana who knows kabda ungeoa huyo dada ungekuwa umejiingiza katika ndoa ndoano, ukaanza kujuta kuoa na kuishi maisha yasiyokuwa na furaha na mashaka juu! nasisitiza ACHANA NAYE NA ASIKUUMIZE KICHWA CHAKO BURE, akakuzibia mambo ya maana ya kupata mweingine kutoka kwa Mungu wako...FUNGA VIOO JUMLA KAKA YANGU!
Nashukuru sana tena sana kwa mawazo yako na msaada wako kwa kweli, nimefurahi kusoma comment nzuri na ya kutoa moyo asante sana, Sana so far ameshanipotezea mda mwingi sana mambo mengi sana yame ni cost kwa kweli najuta na siku tegemea leo itakuja kuwa hivi ila mipango ya mungu na yeye ndio mpangaji wa kila kitu kwa kweli.Sidhani kama kuna ndoa siajabu jamaa alitumia tu hilo neno ndoa kwangu kama mkwara, nashukuru sana na inshaalah kila kitu kitakuwa sawa na nitarudi kwenye hali ya kawaida na kuendelea na maisha ya kawaida, Asante sana kwa ushauri wako,
 
U did the right thing mkuu. That being a gentleman, we are defined by our actions esp in hard times, I've upgraded u thou sikujui kwahakika mke mzuri na mwema anakuja upesi on your way.

Nashukuru sana mkuu wangu najuwa mwenyezi mungu atakuja kusaidia tu kila kitu kitaenda sawa kabisa,but huyu now sitaki hata kumsikia kwenye akili yangu maana amenipotezea malengo yangu mengi sana tena sana.Again asante mkuu wangu and I appreciate kwa kweli
 
huyo mwanamke hafai,ila ingekuwa mimi,ningemueleza ukweli huyo jamaa,ila aelewe ni mwanamke wa aina gani.kama aamue kuwa nae ni sawa.kwa nini wanawake tunajidhalilisha hivi.ila nakuomba usihisi wanawake wote ni wabaya,u never know,ipo siku utampata mtu ambae atakuwa muaminifu

Asante sana wangu kwa ushauri wako, ila pia kama ningesema nimueleze jamaa ni mwanamke wa aina gani ingeonekana kama nataka kuwaharibia mapenzi yao ndio maana nikaamua kuwa mpole na ku calm down na sio kwamba nimeshindwa kufanya hivyo bali nimeamua kuchukua uamuzi wa busara tu. Sio siri naona wanawake mnajidhalilisha sana sio kidogo hapo hapo mkiwa mnadanganywa mnasema kwamba sisi wanaume tuna tabia mbaya na mkipendwa ndio mnayafanya haya. Yeah naomba mungu iwe hivyo apatikane the right one, na this time nitakuwa makini sana.
 
UMEGEUKA TENA KUNIONEA HURUMA TENA HAWA WATU WAPO SANA KAKA ,UNAWEZA UKAWA UNALALAMIKA NAUMWA SASA NAUMWA KWELI KWELI UKAENDA PALE OCEAN ROAD UKAWAANGALIA WAGONJWA UNAWEZA UKAPONA KABLA YAKUMUONA DOCTA ,usijali haya mambo yapo ili dunia izunguke kwenye mhimili wake kwa siku 365.25na ili itokee usiku na mchana.

Sana imenibidi nikuonee huruma maana imeshakuwa desturi nowdays ila now nimeanza kupata dharau zote zilikuwa zinatoka wapi, Nashukuru sana kwa moyo wako.
 
Kisukari hiyo tunaiita fumbo mfumbie mjinga mwrevu alingamue hamna haja ya ushauri hapo wacha wakapasuane ubongo.

Yeah sana nadhani kulikuwa hamna haja ya mimi kutoa ushauri kwa jamaa, zaidi ni kuwaombea kila la kheri kwa kila jambo tu.
 
hapo ndio mm nawashangaa wabongo siku zote
kuwa na mke au girlfriend sio kummiliki kila kitu
vitu kama emails facebook au simu ni private
kwann kushare passwords? hamuaminiani?
ndoa bila privacy haiwezi kudumu mtaishi kwa kuogopana
marriage is not about controlling your fellow ni kuishi kwa upendo na ina mipaka yake
yawezekana ww ulikuwa unamchunga too much kujua nani kachati nae kwann nk
hata mngeoana hamngedumu. acha tabia za kikoloni.mambo ya kizamani yamepitwa na wakati
 
Yeah sana nadhani kulikuwa hamna haja ya mimi kutoa ushauri kwa jamaa, zaidi ni kuwaombea kila la kheri kwa kila jambo tu.
USILAZIMISHE MAMBO BWANA DUNIA HAIJAI KIGANJANI BANA UTAKULA RAHA TU PAPIZO NAKUINJOI KAMA MIMI hahahah
 
Najua si rahisi na ni wakati mgumu kiasi gani unapitia, lakini no matter usiku mrefu na wenye giza nene kiasi gani; asubuhi hatimaye huja.

Usijilaumu kwamba hukumfanyia hiki au kile, ni tatizo lake mwenyewe na you are a better man na unadeserve the best. Namuonea huruma huyo dada l wish watu wangejifunza kwa makosa ya wengine. She will be the one to cry; sometimes tunakuwa attracted na mtu anayetudominate na kutumanupulate na kuacha magentlemen like you. Yeye ndio kapoteza na si wewe!

Cheer up.

Yeah ndugu yangu ndio hivyo now atleast nimeanza kuwa normal ila usiku wa leo niliuona mkubwa sana, na nashukuru sana kwa moyo wako kwa kweli now nimejifunza na nitakuwa makini sana tena sana.Kingine mkuu aliweza kabisa kuchukua number yangu na kupiga kwa kweli yaani mambo mengine ya kufikiria tu sio siri. mkuu now naanza kujipanga upya pamoja najuwa itanitake time maana vizuri kufahamiana na mtu kwanza kabla ya kufanya uwamuzi wowote wote.Again thank u mkuu sana
 
Comrade Papizo wadau wameongea yote nami maneno ya kusema yananikosa hakika baada ya kuzisoma comments za watu humu ulipata tahafifu kubwa sana,take this "Life Goes On"

Yeah mkuu nashukuru hii ndio JF wamenipa ushauri mzuri sana na wa maana sana tena sana sio kidogo, nawashukuru sana na nimesha move on now naangalia maisha mapya sasa
 
kwanza pole sana...
pili hongera wewe ni mwanaume haswaaaaa umemjibu kiume...
tatu huyo binti akirudi tena kwako usikaze wala kulegeza moyo mwambie humtaki....kwa maana hakufai...

nne mshukuru Mungu maana hujui amekuepusha na nini
tano songa mbele na maisha yako..........
 
kaka unaambiwa LIKUEPUKALO, LINA KHERI NA WEWE...so ni kumshukuru Mungu kwa kukuokoa na balaa hilo maana who knows kabda ungeoa huyo dada ungekuwa umejiingiza katika ndoa ndoano, ukaanza kujuta kuoa na kuishi maisha yasiyokuwa na furaha na mashaka juu! nasisitiza ACHANA NAYE NA ASIKUUMIZE KICHWA CHAKO BURE, akakuzibia mambo ya maana ya kupata mweingine kutoka kwa Mungu wako...FUNGA VIOO JUMLA KAKA YANGU!

Daaa asante sana ila now nitakuwa mgumu sana, sasa mkidanganywa mnasema wanaume wabaya mkipendwa ndio haya mambo yenyewe, ila now nime move on na nashukuru sana kwa ushauri wako mzuri.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mkuuu imeniathiri sio kidogo huwezi amini yaani,kila kitu nakiona kibaya,na najiuliza makosa yangu yapo wapi na deserve haya yote. Plus jamaa mwenyewe nilivyomuuliza upo nae kwa mda gani alivyosema toka 2008 then nikamuuliza ulikuwa nae mda wote huo akasema hapana tulipeana break tulianza tena mwezi wa kwanza mapenzi yetu.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

Pole sana Mkuu...Songa mbele na maisha yako utampata mwingine ambaye atathamini penzi lako huyu alikuwa tapeli tu ambaye alikuwa mguu ndani mguu nje kwa miaka zaidi ya minne katika mapenzi yenu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom