Je nilipe kisasi?

Thanx wakuu wote wa JF kwa ushauri mzuri mlionipa so nimebadili mawazo na nimeamua kumsamehe ila ntaonesha upendo kwake kama dada yangu ili ailee mimba yake vizuri.bila JF sijui.........
 
once again with ths quatation ,vp umeexperience nn.
ila ni good nukuu ,i first heard kwenye series ya criminal mind,2nd tym it was u na ths z 3rd tym from u.
Ni msemo wa kawaida tu, hata mimi sijui niliutoa wapi maana uko so common (IMO).
Kujibu swali lako: mi sijawahi kumpenda mtu na nimchukie at the same time. Nikipenda, napenda na hata nikiwa na hasira siwahi kusema kua nachukia, nasubiri hasira ziishe ndio nijue kama hisia bado zipo au zimeisha.
 
Thanx wakuu wote wa JF kwa ushauri mzuri mlionipa so nimebadili mawazo na nimeamua kumsamehe ila ntaonesha upendo kwake kama dada yangu ili ailee mimba yake vizuri.bila JF sijui.........

ubarikiwe kwa kua na hekima na utupia!
 
Ni msemo wa kawaida tu, hata mimi sijui niliutoa wapi maana uko so common (IMO).
Kujibu swali lako: mi sijawahi kumpenda mtu na nimchukie at the same time. Nikipenda, napenda na hata nikiwa na hasira siwahi kusema kua nachukia, nasubiri hasira ziishe ndio nijue kama hisia bado zipo au zimeisha.
well noted gud lady ,wape somo ladies wenzako nao wamature km ww.
 
Ni msemo wa kawaida tu, hata mimi sijui niliutoa wapi maana uko so common (IMO).
Kujibu swali lako: mi sijawahi kumpenda mtu na nimchukie at the same time. Nikipenda, napenda na hata nikiwa na hasira siwahi kusema kua nachukia, nasubiri hasira ziishe ndio nijue kama hisia bado zipo au zimeisha.
movie ya zamani ameeact Martin Lawrence: A thin line b/n love and hate
 
Ubarikiwe sana kwa ushauri mzuri.
Mimi nafikiri hadi hpo Mungu ameshakulipia kisasi so wewe unatakiwa kutulia tu na kama utataka kulipa kisasi basi kwako litakuwa kosa na Mungu atamlipia huyo mwanamke kisasi juu yako. mie nafikiri hakuna haja ya kisasi. Fikiria ni wanawake wangapi ambao unahisi wanakupenda km wangepata nafasi ya kukuambia ungewakubalia wote? nafikiri ni wachache ambao ungekua nao.. sasa jiulize km hao ambao ungewakataa wangekua na roho ya kisasi wewe ungekua ktk hali gani?......... ni mtazamo wangu tu
Thanks
 
...Unalipiza kisasi kwa kukataliwa?:shock: unalipiza kisasi ili iweje? Wanawake wangapi uliowatongoza hadi sasa na wakakutaa? Je, ulilipiza kisasi kwa wote waliokukataa? Achana na mambo yasiyo ya kistaarabu ya kulipiza kisasi. We songa mbele na maisha yako
 
Kama ulimtongoza kitambo na you still feel that hate, then deep down bado wampenda. Hata hivo mapenzi ya kweli na dhati hayako hivo, daima one hutaka what is best for huyo ampendae aidha kakataliwa ama kakubaliwa. Unapomtongoza mtu sio lazima akukubali, maana roho bana hailazimishwi hata kidogo kupenda....... Haya baas kapata matatizo wataka kumuongeze kidonda emotionally na psychologically na on top of that ana mimba? Kua na huruma jamani.... Wanawake twapitia mengi, na whenever possible tujaribu epusha maumivu ya makusudi.
una akili nyingi sana wewe ndo mana umekuwa our rookie of the year!
 
Style yake ya kutoa maneno machafu ndo haikuwa nzuri..ila kukubaliwa na kukataliwa yote ni matokeo kwenye process nzima ya kutongoza. Accept that....Ila kisasi sikushauri!! Utajiumiza mwenyewe tu..
Ni kweli, msichana anaujauzito kwa nini unamhitaji kaka chana naye chapa lapa.
 
Afrodenzi there is a very thin line between love and hate. Sometimes unakuta you hate somebody because you loved him/fer but he/she did not love you back the way you wanted. Ila mkikaa na akueleze, umsamehe, then love blossoms again. Huyu kijana akae mbali na huyo dada, anaweza kwenda kwa nia ya kumkomesha but once there anajikuta kamdondokea tena and it will be very confusing for him.

I know there is a thin line between those two things..
still is not what i asked. my question
was " why would you want
to talk crap or plan such a revenge to some one you love?...

anyway
huyu kijana hajasema anampenda huyo dada..
na nikasema tena ni bora kumuuliza kama kweli anampenda
kuliko ku assume tu vitu .
 
Unanikumbusha stori flani niliyo wahi simuliwaga kitambo kidogo na 1 friend of mine kuwa siku moja alikuwa kwenye siku za "muambo" akaja best yake mmoja kumuomba ushauri kuwa kuna sehemu angeenda kufanya uhalifu kwani alikuwa na uhakika akifanikiwa,hatakosa "M" kadhaa hivi. Bila kusita alimpa ushirikiano wa kutosha mpaka dakika ya mwisho rafiki yangu akaja kugundua huo uhalifu unaenda kufanyika nyumbani kwa mshua wake kwani tayari walishakuw eneo la tukio.
 
Habari zenu wana JF
wakuu kuna manzi ambaye nilimtongoza zamani kidogo lakini yeye alinikataa kwa kunitolea maneno machafu mno.baada ya kusikia ana mimba na aliyempa kaikataa nikamtongoza tena na kunielewa bila shida nia yangu ikiwa ni kulipa kisasi.nna mpango wa kula "mzigo" na kuanza mbele,je ntekeleze azma yangu?au nisamehe tu?.ni hayo tu
Crap, OMG!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Ralphryder hio baa ya ngapi unoenda leo! Khaaaa....

Angel mpendwa wangu c kama mi ni mlevi kiviiile! Ila ugumu wa maisha unanifanya kunywa ili nipunguze mawazo! Hii naingia hata sikumbuki ni ya ngapi! Ila imeandikwa hapa mlangoni "simba kapakatwa"! Nisamehe bure! Nawahi bar!
 
Habari zenu wana JF
wakuu kuna manzi ambaye nilimtongoza zamani kidogo lakini yeye alinikataa kwa kunitolea maneno machafu mno.baada ya kusikia ana mimba na aliyempa kaikataa nikamtongoza tena na kunielewa bila shida nia yangu ikiwa ni kulipa kisasi.nna mpango wa kula "mzigo" na kuanza mbele,je ntekeleze azma yangu?au nisamehe tu?.ni hayo tu
Acha uvulana ww,naamini wanuame hawana sifa za aina hii,ungesikia mambo km haya yamemkuta dada yako ungemfanyaje huyo kivulana?kisasi sio kazi yangu mwachie mungu ashuhulike nalo.
 
Habari zenu wana JF
wakuu kuna manzi ambaye nilimtongoza zamani kidogo lakini yeye alinikataa kwa kunitolea maneno machafu mno.baada ya kusikia ana mimba na aliyempa kaikataa nikamtongoza tena na kunielewa bila shida nia yangu ikiwa ni kulipa kisasi.nna mpango wa kula "mzigo" na kuanza mbele,je ntekeleze azma yangu?au nisamehe tu?.ni hayo tu

Kapime akili yako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom