je nikaze roho nimkubali huyu kaka???

subiri wa kwako!Itaonekana kama ulikuwa na uhusiano nae kabla rafiki yako hajafa!

watu wanaolewa na waume wa dada zao sembuse rafiki! Suala ni kuangalia kama uwezekano wa kudumu nae na kama kuna upendo wa kweli.
 
mimi naona hapo hamna tatizo,we mkubali mshikaji akuweke ndani kwani rafiki yako aliishafariki na usiishi kwa kuangalia watu wanasema nini
 
habari zenu wanajf! naombeni ushauri wenu juu ya hili! mimi ni mschana nilikuwa na rafki angu mpendwa wa kike ambae amefariki dunia mwaka sasa unafika! huyo marehem rafk angu alikuwa na boyfrend wake hapohapo chuoni! yule rafk angu alinipenda sana na mara nyingi alikuwa akinisifia sana kwa boyfrend wake km mm ni msichna bora n.k! mpaka ikafkia wakati yule boyfrend wake akawa ananiita mimi mke mdogo! ilikuwa ni kama utani tena mbele ya rafki yangu! tuliheshimiana sana sote watatu!baada ya kufariki kwa shost angu huyu kaka sasa ananitongoza na anasema anataka anioe! ni mda mrefu sasa ananisumbua sana! nashindwa kumkubalia kutokana na najskia vibaya sana mda mwingine nahisi km nkimkubali basi ni kama namsaliti marehemu shost angu! na je ulimwengu utanichukuliaje mimi?wengine wanaweza wakafkiria huenda nilikuwa namsaliti rafki angu kabla hajafa! mbaya zaidi nimetokea kumpenda sana sana huyu kaka! nishaurini jamani nikaze roho nimkubali ama nimshit!!?? niokoeni ktk janga hili ndugu zangu

Vipi kama huyo jamaa naye ni member wa JF? Huoni kuwa anaweza kutumia fursa hii kukushauri ukubaliane naye bila wewe kujua kama ni yeye ndiye anatoa ushauri? Just thinking aloud!!!!
 
Dada kama moyo wako unasita acha na heshimu sana moyo wako.Ushauri wote unao ndani ya moyo wako.Respect ya instincts.Kila la heri.
 
well Said mkuu, kama aliweza kumsaliti mumewe akamfuata mshikaji, kwani itashindikana vipi kumsaliti mshikaji na kwenda kwa mshikaji mwingine, uaminifu kwa mwanamke uko rehani, asili haipotei.
Haya mambo siyo mepesi hivyo. Mtaoana ndiyo, mapenzi ya kudanganyana ya mwanzo yakiisha, anaanza kuwaza-kama alimsaliti shost yake, nami kesho si atanisaliti? sisi tulio kwenye ndoa mika zaidi ya 20 tunayajua hayo. Amini kuna siku atajiuliza swali hilo kitambaa cha mapenzi kilichowafunika nyuso zenu kikitoka. Just imagine, kuna mwanamke alikuwa anamkacha mume wake anafanya mapenzi na mwanamume. Exactly kama ilivyotokea kwenu, yule mume wa mwanamke akafa, basi wakapata nafasi ya kuoana. Believe it, yule mwanamume alikuja kuniambia kuwa mwanamke alivyokuwa anamkacha mume wake atanikacha na mimi. Ndoa haikudumu!!!!!!!
 
habari zenu wanajf! naombeni ushauri wenu juu ya hili! mimi ni mschana nilikuwa na rafki angu mpendwa wa kike ambae amefariki dunia mwaka sasa unafika! huyo marehem rafk angu alikuwa na boyfrend wake hapohapo chuoni! yule rafk angu alinipenda sana na mara nyingi alikuwa akinisifia sana kwa boyfrend wake km mm ni msichna bora n.k! mpaka ikafkia wakati yule boyfrend wake akawa ananiita mimi mke mdogo! ilikuwa ni kama utani tena mbele ya rafki yangu! tuliheshimiana sana sote watatu!baada ya kufariki kwa shost angu huyu kaka sasa ananitongoza na anasema anataka anioe! ni mda mrefu sasa ananisumbua sana! nashindwa kumkubalia kutokana na najskia vibaya sana mda mwingine nahisi km nkimkubali basi ni kama namsaliti marehemu shost angu! na je ulimwengu utanichukuliaje mimi?wengine wanaweza wakafkiria huenda nilikuwa namsaliti rafki angu kabla hajafa! mbaya zaidi nimetokea kumpenda sana sana huyu kaka! nishaurini jamani nikaze roho nimkubali ama nimshit!!?? niokoeni ktk janga hili ndugu zangu

Nimesoma mara mbili mbili uzi huu na nimeelewa kuwa hapo kuna penzi la dhati tena penzi lenye malengo mema kwa maana hiyo basi usiache moyo wako uteseke kwa kitu ulichokipenda. Kijana anamalengo mazuri na wewe na kama shost wako alikuwa anakubaliana nae pale alipokuwa akikuona wewe kama mke wake mdogo basi hata huko aliko atakubali tu. Kuna watu walikutana makabulini mwanaume alikuwa anajenga kabuli la mke wake na mwanamke alikuwa anajenga kabuli la mume wake bahati mbaya zaidi marehem hao walikufa siku moja. Kutokana na mshangao huo basi hawa wapendwa waliobaki duniani waliamua kuanzisha uhusiano ambao ulileta ndoa yenye balaka. Mshukulu mungu kwa kuwa huyo kijana amekuona wewe na wewe ndo unafaa kuwa mke wake. Kila la kheri mdada
 
Sioni kama kuna shida hapo.

Ila unatakiwa uwe mtu wa msimamo katika maamuzi yako. Jiandae walimwengu tutakusema sana tu, tena tunaweza hadi sema siku anagongwa gari alichanganyikiwa baada ya kuwafumania live.
Be prepared for the worst maneno.
 
ahsanteni sana kwa ushauri wenu nyote ndugu zangu na nitafanyia kazi
 
nlikuwa na mahusiano na rafk ake huyo kaka ambae ananitaka sasa! lkn huyo rafk ake alinisaliti kwa mda mfupi sana! nliamua kuachana nae! tulikaa pamoja kwa mda usiozid miezi 2 nlipogundua ananicheat nkamuacha na sikuingia kwenye uhusiano hadi hii sasa! tulikuwa km marafiki wa kawaida ckuwah hata kukiss nae! rafiki angu aligongwa na gari

safi sana chukua chansi kama kumlindia mzigo rafikiyo vipi tena bibie mboni unachelewa aisee..
 
kama unampenda na una uhakika na yeye anakupenda olewa bwana,
sion kipingamiz chochote hapo,
ila jifunze kupuuza maneno sbb watu watakusema sana sbb wengi watadhan mlianzana tokea enzi rafiki yako yupo.
Ila nakushauri usitembee na huyo kaka hadi muoane ili hata ukisemwa una uhakika uko ndani ya ndoa yako.
 
shoga yako si ashatangulia no problem.........we mpe tu jamaa mzigo ,aliyepita na lake halipo.........achana na habari za watu wao ni kusema tuuuu
 
-Chunguza rafiki yako kafa na ugonjwa gani
-Marehemu hana sababu, fanay kitu ile roho inapenda
 
kusema tumeumbiwa binadam,so usiogope maneno,watu wapo hai na wanasalitiana itakuwa hyo ameshatangulia,km moyo wako umependa bac sioni tatizo fuata moyo wako mpendwa,labda mungu ndo amekuchaguria hyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom