Festi klasi ya wapi?
ya udsm
hata kama imefokasi kwenye certificate.
Huyo alikua anataka boom lako tu.
Futa namba yake, weka akili kwenye kitabu, fanya mambo yanayokufurahisha, kuwa karibu na watu wanaokufurahisha utamsahau muda sio mrefu.
Budodi,READ MY SIGNATURE,hana ny...ge na wewe tena huyo,umesikia?
Songíto;3210121 said:hata kama kusoma hujui basi picha ipo wazi kabisa mkuu, achana naye maana mpaka kufikia hivyo alivyo sasa ni kwamba hana time na wewe na inawezekana kabisa kwa asilimia nyingi ameshaanza mahusiano... kutokana na maelezo yako inaonekana amejua udhaifu wako kwa kuwa anajua kuwa unampenda saaana na anatumia nafasi hiyo kukuendesha!! si hilo tu binti anaonekana ni material oriented, yaani wewe kuwa naye lazima uwe na kitu. swali ni je: ukiwa nae ndani ya ndoa kwa mfano na siku moja ukapunguzwa kazi (hatuombei hili ila linawezekana) ataendelea kukuvumilia katika kipindi hiko kigumu? ndo mana nakwambia achana nae!! unatakiwa kuoa mke ambaye una hakika kuwa mtaendelea kupendana na kutoka out pamoja, kushikana mikono hadharani huku mkifurahi kwa miaka 25-30 ijayo ( licha ya changamoto mbalimbali za ndoa), na huyo si mmoja wao nakuambia.. na kumbuka si vyema kuonyesha upendo kwa mwenziwako kwa asilimia 100 waziwazi hata kama kweli unampenda hivyo, wengi wamelia kwa sababu hiyo!! Mpende ila uwe na kiasi na pia ajue msimamo wako tangu mwanzo na kuwa huyumbishwi hovyo, wanawake wanapenda watu imara na wanaostick katika maamuzi yao bila kusita ikiwa maamuzi hayo ni positive
move on!!!... kwa wakati huu usikurupuke kutafuta mwingine..pumzika kwa muda kidogo, futa machungu yote uliyonayo na jaribu kumsahau huyo mtu wako, futa contact zake zoote iwe simu, email, facebook na nyingine zoote!! ikiwezekana pata line mpya ya simu ili usipate nafasi ya kuintaract nae, kwa njia hiyo itakusaidia kumsahau kwa haraka... ukipata nafuu na kusahau, tafuta kigoli mwingine na usiwe na papara kwenye kumtafuta, jua historia yake na familia yake ilivyo kwenye mahusiano, hii itakusaidia sana kujenga mahusiano imara, ukiona umepata mtu anayeonekana hana mwelekeo usisubiri mpaka umpende weeee ndo ujaribu kujiondoa, toka mapemaaaaaaa.
nakuambia achana na huyo wa sasa kwa kuwa hawa viumbe huwa wanaacha mbachao kwa misala ipitayo, hawa viumbe wakishakudelete kwenye database zao basi ujue huna chako na imekula kwako, na ukiendelea kulazimisha unajenga chuki tu kwao, "to them there is a very thin line between love and hate", akikuchukia anakuchukia kweli, haijalishi kama mlikuwa na A+ ya mahaba.... achana nae, achana nae huyooo
all in all pole sana, lakini nakutia moyo utampata uliyetengewa na maulana muda ukifika... in the mean time hayo mapito upitayo ni experience tosha kwenye CV yako ya malavidavi, ukikutana nayo mara 2 au 3 basi utakuwa umekomaa haswaa na mapenzi ya siku hizi ya ki.com hayatakusumbua
its the best advice,kama amekupata vizuri.big up sana kaka.