Je niachane nae?

Mchumba wewe jana uliniudhi na hukuomba msamaha,kwa kunionyesha mbele za watu.Lakini mimi sijambo ,mzima wa afya tele

Nilitaka jamii ione navyofaudu. Niwie radhi basi basi, husahau? Hahahaha! Ka button ka thanks leo sikaoni, ningekutwangia kamoja.
 
Wadau wa JF mimi ndugu yenu nina katatizo kidogo kwenye mahusiano na binti mmoja anasoma mzumbe university. Huyu mtoto ni mkali kweli kweli, lakini tatizo lake anaomba sana pesa, voucher na vijizawadi vidogo vidogo. Mimi hii kasumba ya kuombwa ombwa sikuzoea na wote nilokua nao kabla hawana tabia ya kuomba omba hadi niwape mwenyewe. Huyu bwana anaomba si mchezo. Mbaya zaidi ukimtumia hiyo voucher hata hakupigii na utashanga kesho tena anakubip. nimekua nikijiuliza sasa hii credit nayo mtumia anawasiliana na nani?

Mbaya zaidi nikimwambia njoo basi nami niweze kuliwazika japo kwa kuwa karibu nae, utasikia visingizio kibao, mara nina mitihani, ohh nimefunga chuo lakini naenda kwanza nyumbani, sasa simuelewi kabisa, na pia sidhani kama ananipenda maana nimemmega mara moja tu.

jamani naombeni ushauri wenu wa dhati maana nafikiria kuachana nae na kutafuta anayejua kumlea mwanaume kijana kama mimi bila ya kua na tamaa tamaa.

natanguliza shukrani zangu wadau kwa kushiriki kwenu kunipa ushauri
AAh, kids, kids! jamani wazee wenzangu kina Chriss, FL1, MJ1, Nyamayao, Fidel nk. nk, kazi tunayo jamani, tena kubwa tu,, nafikiri itabidi tuanzishe library ya mahusiano tuwe tunadesa kwanza maana hawa vijana watatupa presha na haya mahusiano.
Nachokiona mimi, vijana hawaelezani ukweli wakati wanaanza mahusiano, hawana trust wao kwa wao, hawapendi kuwa responsible na wanachoona wao ni ngono vs pesa.
I am afraid Gudboy kama umeamua kuwa na mpenzi mwanafunzi kuwa responsible bila malalamiko kwamba anakuchuna, au kaeni chini muongee kwa uwazi nini hupendi na nini hapendi, unajua wanawake tuko tofauti, sie wengine habari ya kumtegemea mwanaume hatuwezagi kabisa, yani habari ya kuomba sijui vocha, sijui pesa ya matumizi kwa upande wangu siwezagi, sijui ni kwa kuwa sipendi kuwa matonya. lakini kuna wengine wanaoamini ukiwa mwanaume you have to provide, so it depends unampenda kiasi gani, na una priority gani nae. pima mwenyewe kama unaona anakuyeyusha anza.
 
Dogo huyu binti wewe humuwezi hebu niPM utuachie sisi mapedeshee tumgalamie

Mbona wataka kuwahi vya wenzio au kwa sababu kashamsifia dada ni mkali basi na wewe ndo unanyemelea hapohapo lol!!!
 
Mbona wataka kuwahi vya wenzio au kwa sababu kashamsifia dada ni mkali basi na wewe ndo unanyemelea hapohapo lol!!!

Sasa kama mtu hata kumtumia mchuchu vocha anaona ubahili si atuachie kina Liyumba tufanze mambo yetu.
 
Mbona wataka kuwahi vya wenzio au kwa sababu kashamsifia dada ni mkali basi na wewe ndo unanyemelea hapohapo lol!!!

Yeye kashindwa kuhudumia si umeona demu anapenda sana mshiko, voucher n.k
 
Sasa kama mtu hata kumtumia mchuchu vocha anaona ubahili si atuachie kina Liyumba tufanze mambo yetu.

Si ubahili ni kwamba yeye dogo ni denti bado unacheki kwa hiyo kahela kake kamfukoni ka matumizi ya skuli ndo anakoshare na huyo mlimbwende.sasa inamuuma pale ambapo anajitahidi kukidhi mahitaji ya msichana with the little money he has halafu dada bado haoni kama anampenda. ndo maana nikasema amnyime anavyompa kuongezeana umaskini tu hapo
 
Pole Gudboy kwa yanayokusibu. sikuzote hawa wasichana wa chuo wana matatizo sana sijui kwa nini yani kati ya kumi 1 au 2 ndo utakuta hawana hizo tabia za kishenzi. wanaeka pesa mbele na zawadi wanasahau kwamba wanamuumiza yule anayewapenda ki ukweli. halafu hata ukimmega haimuumi hivo kwa sababu ndo walivyo ni part ya maisha yao ya kila siku ya chuo.Pia kummega mtu mara nyingi sio kipimo cha mapenzi kwamba anakupenda hiiivo.

Ushauri: anza kwa kumnyimahivo vitu unavyompa. Zingatia masomo yako. ukija duniani huku baada ya kusoma utatukuta tumejaa tele wenye adabu na wasio na tabia ya kuomba omba hovyo. au imekaaje Gudboy?? and you better be a good boy kama unavyojiita.
Angalia hiyo red part, na nadhani hii ni mara ya pili unatoa comment ya aina hiyo, anyways ni opinion yako lakini nadhani unageneralize saana. si kweli kwamba wasichana wote wa chuo wana tabia hiyo isipokuwa wachache tu na tena wasio na priority katika maisha yao. Mimi najua vijana wengi sana au couple nyingi sana zilizo kwenye ndoa na wote wamekutyana vyuoni nadhani hata hapa JF wapo wengi tu. ndo maana nakwazika na hiyo comment especially coming from a lady.
To me it could be better if it came from a lay person who is consumed by anger and jelousy and has never got an opportunity to go to college.
Lakini cha msingi ni kwamba hizi ni tabia tu, mtu akiamua kuwa nazo hata awe hajasoma, ni attitude ya mtu, so i hate when we generalize things like this.
 
AAh, kids, kids! jamani wazee wenzangu kina Chriss, FL1, MJ1, Nyamayao, Fidel nk. nk, kazi tunayo jamani, tena kubwa tu,, nafikiri itabidi tuanzishe library ya mahusiano tuwe tunadesa kwanza maana hawa vijana watatupa presha na haya mahusiano.
Nachokiona mimi, vijana hawaelezani ukweli wakati wanaanza mahusiano, hawana trust wao kwa wao, hawapendi kuwa responsible na wanachoona wao ni ngono vs pesa.
I am afraid Gudboy kama umeamua kuwa na mpenzi mwanafunzi kuwa responsible bila malalamiko kwamba anakuchuna, au kaeni chini muongee kwa uwazi nini hupendi na nini hapendi, unajua wanawake tuko tofauti, sie wengine habari ya kumtegemea mwanaume hatuwezagi kabisa, yani habari ya kuomba sijui vocha, sijui pesa ya matumizi kwa upande wangu siwezagi, sijui ni kwa kuwa sipendi kuwa matonya. lakini kuna wengine wanaoamini ukiwa mwanaume you have to provide, so it depends unampenda kiasi gani, na una priority gani nae. pima mwenyewe kama unaona anakuyeyusha anza.

kuna ma colleague kila cku ni kulalama na ka gal kake, yaani haka kamezidi ni kila cku kuomba vocha, halafu mkaka hapigiwi wala nini kazi ni ku beep tu, mie namuulizaga sasa hiyo cmu kakununulia wewe au, wadada wengi wana hiki kitabia, nakichukia kweli! hata vocha uombe?
 
Si ubahili ni kwamba yeye dogo ni denti bado unacheki kwa hiyo kahela kake kamfukoni ka matumizi ya skuli ndo anakoshare na huyo mlimbwende.sasa inamuuma pale ambapo anajitahidi kukidhi mahitaji ya msichana with the little money he has halafu dada bado haoni kama anampenda. ndo maana nikasema amnyime anavyompa kuongezeana umaskini tu hapo

JS,
Usimshangae Fidel80.yeye hizo kwake ni kawaida.Kutoa 70,000/=kwa wiki za saluni tu ni kitu kidogo sana kwake.
 
JS,
Usimshangae Fidel80.yeye hizo kwake ni kawaida.Kutoa 70,000/=kwa wiki za saluni tu ni kitu kidogo sana kwake.

Hahahaha mwambie bana hapana chezea mimi hajui kuwa kuna mtu nilikuwa namlea kwa 70,000/= kila wiki za kulitouch nywele tu bado matumizi mengineyo hajui huyu.
 
Hahahaha mwambie bana hapana chezea mimi hajui kuwa kuna mtu nilikuwa namlea kwa 70,000/= kila wiki za kulitouch nywele tu bado matumizi mengineyo hajui huyu.
mkuu heshima mbele! ila naomba kuuliza...nyumbani nako ulikuwa unakwenda kwa uwiano huo huo au ndio ktk wale wakidaiwa 2,000/= nyumbani wanakuwa wakali?!
 
mkuu heshima mbele! ila naomba kuuliza...nyumbani nako ulikuwa unakwenda kwa uwiano huo huo au ndio ktk wale wakidaiwa 2,000/= nyumbani wanakuwa wakali?!

Bahati mbaya mkuu kitu nyumbani nasogeza 2012 Mungu akinijalia tuombeane mkuu.
 
mkuu heshima mbele! ila naomba kuuliza...nyumbani nako ulikuwa unakwenda kwa uwiano huo huo au ndio ktk wale wakidaiwa 2,000/= nyumbani wanakuwa wakali?!

hawa ndo wale home wife akiomba anaambiwa nilimkopesha John ngoja nifatilie deni langu akinipatia nitakupa mama watoto
lakini akiombwa nje fasta mkono ndani ya suluari + vat
 
hawa ndo wale home wife akiomba anaambiwa nilimkopesha John ngoja nifatilie deni langu akinipatia nitakupa mama watoto
lakini akiombwa nje fasta mkono ndani ya suluari + vat

Mi bado nipo nipo nasubili 2012 nitawaalika lakini bado sijapata maombi yanakaribishwa.
 
Gudboy huyo Girl wako kwenye swala la kuomba Vocha harafu hakupigii then anakuka kuomba tena hilo ni Tatizo ....!! kwingine mie sisemi wenzangu wameshaongea yooote
 
Back
Top Bottom