Je ni wasaliti ama mashujaa?

Kiranja Mkuu

JF-Expert Member
Feb 18, 2010
4,059
4,055
Wanao ukana uraia wa Tanzania kwa sababu mbalimbali ukiwemo utawala mbovu, dhiki, maradhi na uchumi duni tuwaiteje watu hawa, je ni wasaliti au mashujaa?
 
Watu wanawakana wazazi wao, nini uraia besti?
Hao si wasaliti wala mashujaa, ni kwamba wameitumia haki yao ya msingi ya kuchagua
 
Back
Top Bottom