Je, ni wangapi kati yetu?!

Wengi hawapendi kazi zao na ndio maana hawazifanyi kwa ufanisi.

Wala si uongo dear. Mfano kazi za wito. Waweza kuta mwalimu anawapiga watoto ovyo, ananuna bila sababu, pengine hafundishi ipasavyo au nurse aliye ward ya uzazi anapokuwa na roho ya kikatili utadhani kalazimishwa!!
 
Back
Top Bottom