Je ni vitu gani vya kuzingatia unapo tafuta best man na sehemu ya honeymoon?

Sijawa na ndoa bado lakini angalau kuhusu honeymoon ninaweza kusema kitu. Kwanza kabisa, nyie wawili mnapendelea nini?kukaa tu hoteli ya bei kubwa kwa siku mbili baada ya harusi (ambayo honestly it sucks to me)? Au mnapendelea kujivinjari sehemu nzuri hapa nchini kama ngorongoro au serengeti au hata kule sijui kigoma ambako kuna mbuga yenye sokwe?? Outdoor activities in other words.

Kama hiyo haipendezi mnaweza kwenda hata visiwani na hapa I don't mean zbar nendeni kwingine kama seychelles niliona kwa tv na pakanivutia sana.

South africa kila couple inaenda siku hizi baada ya harusi. Hamna cha viza wala nini ni tiketi yako tu na passport. Unaeza jitosa mkaenda egypt kule kwenye pyramids....yani mimi idea yangu its all about touring new places that you both have never been to.

Sasa vyote hivi vinahitaji chapaa (hela) kwa hiyo uzingatie hilo. Uwe na pesa ndefu kiasi inategemea na wapi mnaenda. Mfurahie maisha na ita-spice up your honeymoon time.

mnakaa bichi siku mbili bila kwenda nyumbani wala kula, msosi wenu utakuwa tunda tu.

Sijawa na ndoa bado lakini angalau kuhusu honeymoon ninaweza kusema kitu. Kwanza kabisa, nyie wawili mnapendelea nini?kukaa tu hoteli ya bei kubwa kwa siku mbili baada ya harusi (ambayo honestly it sucks to me)? Au mnapendelea kujivinjari sehemu nzuri hapa nchini kama ngorongoro au serengeti au hata kule sijui kigoma ambako kuna mbuga yenye sokwe?? Outdoor activities in other words. Kama hiyo haipendezi mnaweza kwenda hata visiwani na hapa I don't mean zbar nendeni kwingine kama seychelles niliona kwa tv na pakanivutia sana. South africa kila couple inaenda siku hizi baada ya harusi. Hamna cha viza wala nini ni tiketi yako tu na passport. Unaeza jitosa mkaenda egypt kule kwenye pyramids....yani mimi idea yangu its all about touring new places that you both have never been to. Sasa vyote hivi vinahitaji chapaa (hela) kwa hiyo uzingatie hilo. Uwe na pesa ndefu kiasi inategemea na wapi mnaenda. Mfurahie maisha na ita-spice up your honeymoon time.
Sorry dada naomba ufafanue juu ya swala la kutohitaji VISA kwenda South ,mi nataka jivnjari huko cku kadhaa kabla ya kuingia home tz

I hope this is the most useful thread for me today as I'm on my way to to do the same very soon!
Kuna aliyenishauri honeymoon tuende Kericho au Yaeda Chini? Are they the best place!

kubwa ni kuwa best man awe ni mtu unayemfahamu fika kitabia asije akakuacha solemba siku ya siku...................

honey moon ni suala la chenji zimejaa kiasi gani, nafasi na vionjo vyako binafsi.........................lakini ushauri wangu ni kuwa usikufuru na kujisogezea laana na hiyo ndoa ikawa haina jipya zaidi ya kukumbuka siku ya harusi.........................make it simple but not cheap lest you cheapen yourself...............

Sorry dada naomba ufafanue juu ya swala la kutohitaji VISA kwenda South ,mi nataka jivnjari huko cku kadhaa kabla ya kuingia home tz

Ni hivi, Tz na SA waliingia mkataba mwaka jana kuwa wananchi wa pande zote mbili wanaweza kuja TZ au kwenda SA bila visa. Ni uwe na valid passport yako tu na Yellow fever card maana SA wako serious na hii. Ila ukaaji wako huko SA usizidi siku 90 (miezi 3)

kericho is a very nice place to visit, ila utahitaji arrangement ya usafiri. u can drive to mombasa pia. idea ni kufanya kitu affordable kwa muda reasonable. nadala ya kulala serena na kulipa 150 $ kwa siku mbili, u can stay in tourist bandas for 2 wks na kufanya game drives. ukiongea na traveling agency wanaweza kukupa cheap exciting plans. unaweza kuangalia pia saadani (kwa kupitia bagamoyo au pangani), exciting beach game reserve
I hope this is the most useful thread for me today as I'm on my way to to do the same very soon!

Kuna aliyenishauri honeymoon tuende Kericho au Yaeda Chini? Are they the best place!

I hope this is the most useful thread for me today as I'm on my way to to do the same very soon!

Kuna aliyenishauri honeymoon tuende Kericho au Yaeda Chini? Are they the best place!

sijui kama huko ni kuzuri au la, vipi kuhusu Kitulo national park au Sadani?

kuhusu bestman, nadhani mtu mwenye hofu ya mungu atafaa zaidi. manake kuna msimamizi wa ndoa yy ni kuharibu tu na pengine amtokee hata mwenza wako! all in all, siku hizi wasimamizi hawana nafasi sana,manake unawezakuta na wao wana matatizo zaidi yenu. as long as sio mtu negative kupita kiasi, mwendo mdundo!

Ni hivi, Tz na SA waliingia mkataba mwaka jana kuwa wananchi wa pande zote mbili wanaweza kuja TZ au kwenda SA bila visa. Ni uwe na valid passport yako tu na Yellow fever card maana SA wako serious na hii. Ila ukaaji wako huko SA usizidi siku 90 (miezi 3)

Asante sana .Basi nitapitia kumsalimia mzee huko bondeni nastay kidigo halafu naunganisha home.

nakushauri kakangu,
usiende kukaa hotelini, nenda kwenye sehemu itakayo stick akilini.
Nendeni mbali, kuna Selous mto Rufiji kule, bei chee kabisa, mnasokomezana huku jicho likiangalia wanyama. Hoteliza mjini mtaboreka tu na chabo za wahudumu waitie nuksi ndoa yenu isidumu

kericho is a very nice place to visit, ila utahitaji arrangement ya usafiri. u can drive to mombasa pia. idea ni kufanya kitu affordable kwa muda reasonable. nadala ya kulala serena na kulipa 150 $ kwa siku mbili, u can stay in tourist bandas for 2 wks na kufanya game drives. ukiongea na traveling agency wanaweza kukupa cheap exciting plans. unaweza kuangalia pia saadani (kwa kupitia bagamoyo au pangani), exciting beach game reserve

Kwa Tanzania Kitulo National Park ni kuzuri zaidi

Back
Top Bottom