habarii wakuu wa mji huu,ma greater thinker ngoja nitiririkee moja kwa moja kwenye point...mienzi kama miwili iliopita nikiwa kwenye pilika pilika zangu nilikutana na binti kweli ni mrembo na alinivutia,nikatupaa ndoano akanikubali,kwakuwa nilikuwa kibiashara nilivyo maliza kazi ilio nileta niliondoka,ila kwa makubaliano tutaendela kuwasiliana ili yeye anifate huku mkoani kwangu,katika mazungumzo ya kuendelea kujuanaa,katika kumpeleleza yule binti aliniambia yeye hakusoma sana,na alishindwa kumalizaga shule,katika kutaka kujua why?akaniambia alikuwa na matatizo ya kuzimia mara kwa mara so alishindwa kusoma,nikahojii vipi hayo matatizo ameenda hospital akaniambia ameangaika sana kwa miaka minne haja pata ufumbuzi,nikahojii vipi bado anaazimia hadi leo,akanijibu ndio ila hajazimia siku nyingi,nikaona oky siombaya labda naweza kumsaidia kwa kuenda nae maombi au kutafta tiba mbadalaa siku jalii sanaa
juzi nilimpigiaaa simu asubui nikitaka kujua halii yake,ndipo akaniambia huko kwao mambo sio mazurii,kwanii mama ake anaumwa,nikahojii nini zaidi akaniambia mama ake anaugonjwaa wa kichaa ambao unamtokea agaa mara kwa maraa,nilistukaa ila sikuonyeshaa kama nimestukaaa.sasaa wakuu nihivi nimeskiagaa magonjwa kama hayo mara nyingi yanarisiwa kizazi kwa kizazi,je nikimuowa huyo binti sitakuwaa na tatizo kwenye uzao wangu?pia halii ya huruma inanijiaa naona hurumaa kumwambia siwezi kuwa nae kwa ajili ya hivyo vitu,je nifanyajeeee?mchango wenu wakuu na uhitaji sanaa.
Wewe fikiria mwenyewe ufanyaje, amekuwa mkweli kwako, je angekuficha ukajajua baadae au kupitia kwa wambeya ingekuwaje, na kama unataka kumtosa, mtose kwa namna nyingine, hata kwa kupunguza naye mawasiliano, sio mpaka ashtukie reason au kama vipi mpeleke kwenye maombi, ataachwa na wangapi my Bro?!
Najua wengi jukwaani wataponda kwa sababu za ubinadamu, ila ukweli ni kwamba kama una akili timamu hautamuoa huyo binti. Kwanza nikuhakikishie kwamba kuna uwezekano huyo binti ana/atakula dawa maisha yote, na mamaye pia! Pili, research imeonyesha link kati ya kifafa na ku-develope dalili za uchizi(psychosis). Tatu, psychosis may run in families, so wahurumie wanao watarajiwa. Trust me, I am a Doctor!
DAAH kweli hii thread yako ngumu.....
au unatuzingua na mibange yako mkuu?