Je, Ni tatizo? Nifanyaje?

B'REAL

JF-Expert Member
Oct 20, 2010
4,279
2,733
habarii wakuu wa mji huu, ma greater thinker ngoja nitiririkee moja kwa moja kwenye point...

Mienzi kama miwili iliopita nikiwa kwenye pilika pilika zangu nilikutana na binti kweli ni mrembo na alinivutia,nikatupaa ndoano akanikubali, kwakuwa nilikuwa kibiashara nilivyo maliza kazi ilio nileta niliondoka,ila kwa makubaliano tutaendela kuwasiliana ili yeye anifate huku mkoani kwangu, katika mazungumzo ya kuendelea kujuanaa, katika kumpeleleza yule binti aliniambia yeye hakusoma sana, na alishindwa kumalizaga shule, katika kutaka kujua why? Akaniambia alikuwa na matatizo ya kuzimia mara kwa mara so alishindwa kusoma, nikahojii vipi hayo matatizo ameenda hospital akaniambia ameangaika sana kwa miaka minne haja pata ufumbuzi, nikahojii vipi bado anaazimia hadi leo, akanijibu ndio ila hajazimia siku nyingi,nikaona oky siombaya labda naweza kumsaidia kwa kuenda nae maombi au kutafta tiba mbadalaa sikujalii sana.

Juzi nilimpigia simu asubui nikitaka kujua halii yake,ndipo akaniambia huko kwao mambo sio mazurii,kwanii mama ake anaumwa, nikahoji nini zaidi akaniambia mama ake anaugonjwaa wa kichaa ambao unamtokea agaa mara kwa maraa,nilistukaa ila sikuonyeshaa kama nimestukaaa.

Sasa wakuu ni hivi nimeskiaga magonjwa kama hayo mara nyingi yanarithiwa kizazi kwa kizazi, je nikimuowa huyo binti sitakuwaa na tatizo kwenye uzao wangu? Pia halii ya huruma inanijiaa naona hurumaa kumwambia siwezi kuwa nae kwa ajili ya hivyo vitu, je nifanyajeeee?

Mchango wenu wakuu na uhitaji sana.
 
ukipenda boga penda na ua lake.
hapa ndipo ule utaratibu wa wazazi kutafutia wana wao wachumba unapoonekana.
mkuu we sikiliza nafsi yako na pili jaribu kuchunguza familia ya huyo binti pengine hakuna such a myth ktk familia yao.
 
B'REAL ngoja wazee wa jukwaa wafike! ila nimesikia huruma sana! pole my dear, but most of ol, listen to your heart!
 
mkuu siwezi kuchanguliwa mtu wakuishi nae..itakuwaje ikijaa kuwa niwakurithii.maana zamani nilikuwa naskia wazee wanasema ukitaka kuowaa chunguza familia unayo owaa.nikweli na mfeel pia
ukipenda boga penda na ua lake.
hapa ndipo ule utaratibu wa wazazi kutafutia wana wao wachumba unapoonekana.
mkuu we sikiliza nafsi yako na pili jaribu kuchunguza familia ya huyo binti pengine hakuna such a myth ktk familia yao.
 
i do love her na nahisi kutokana na hiyo halii nimezidi kumuonea hurumaa na moyo wangu unajiskia vibaya sanaa,na skia gilt kumuacha cse ya matatizo yake japo najua smtm uwamuzi wangu unaweza kuwa cost kizazi changu baadae.ila roho yangu inasononeka labda kunajinshi naweza kumsaidia
B'REAL ngoja wazee wa jukwaa wafike! ila nimesikia huruma sana! pole my dear, but most of ol, listen to your heart!
 
Duh!kwanza umebahatka sana kukutana na binti mkweli kama huyo!angekua mwngne angekuingza mkenge,mnafunga ndoa ya haraka haraka then ndo unaanza kujionea vioja ndan ya nyumba.
 
Dah!Pole sana,ila usimwache.Upendo ni pamoja na kumkubali mtu kama alivyo.Endelea nae msaidie kutafuta tiba yake na mama yake.Huo ndio upendo!
 
Dah!Pole sana,ila usimwache.Upendo ni pamoja na kumkubali mtu kama alivyo.Endelea nae msaidie kutafuta tiba yake na mama yake.Huo ndio upendo!
nisawaa mkuu ila inakuajee ikiwaaa niwakurisii
 
nashukuru kwa hilo la yeye kuwaa mkwelii na ndo limenifanyaa nisikie huruma na gilt kumuachaa
Duh!kwanza umebahatka sana kukutana na binti mkweli kama huyo!angekua mwngne angekuingza mkenge,mnafunga ndoa ya haraka haraka then ndo unaanza kujionea vioja ndan ya nyumba.
 
DAAH kweli hii thread yako ngumu.....
au unatuzingua na mibange yako mkuu?
 
Duhh kamanda piga chini kama una roho ngumu kama mwepesi komaa nae ila ujue ishu pevu hiyo.
 
Bora msaidie kama unaweza na usimpe hope kama utamuoa,ikibidi katisha hayo mazungumzo ya mapenzi kwani asije akajenga kua utakua mumewe baadae na hali wewe unajishauri....
 
Omba mungu tu,huwez jua pengne kichaa hcho co cha kurth,na kama cha kurth co tatzo.Na km mungu kakuwekea utazaa kichaa,utazaa 2 hta kma ukpata mwngne.USIMWACHE.
 
dah!!sio bange ni kitu cha kwelii na kinaniwekaa katikaa wakati mgumu sanaa,nashindwa kuamuaa,baada ya kufikiria mabange nipee mawazo bana smile
DAAH kweli hii thread yako ngumu.....
au unatuzingua na mibange yako mkuu?
 
ni kwelii ni ishupevu...ila naona kama na mkosea mungu,ila upande mwingine pia naona uruma yangu itanipozaa
Duhh kamanda piga chini kama una roho ngumu kama mwepesi komaa nae ila ujue ishu pevu hiyo.
 
nimependa jibu lako ilaa we have good time together bfr kujua hilo,na sikupenda kumpa tena mawazo mengine,nimuongeze matatizo natamani sana kumsaidia ilaa uwezo sina kivile
Bora msaidie kama unaweza na usimpe hope kama utamuoa,ikibidi katisha hayo mazungumzo ya mapenzi kwani asije akajenga kua utakua mumewe baadae na hali wewe unajishauri....
 
kivipi mkuu kiwe cha kurith afu kisiwee tatizo...namuomba mungu sana kwenye hili nifanye uwamuzii wa busara nisije kumuumiza ili hali hata yeye hakupenda iwe vile,ila tatizo linakuja nikimkaribisha huku ninapo kaa mimi kwa bahati mbaya akazimiaa nitafanyajee duh!!mitiani minginee doh
Omba mungu tu,huwez jua pengne kichaa hcho co cha kurth,na kama cha kurth co tatzo.Na km mungu kakuwekea utazaa kichaa,utazaa 2 hta kma ukpata mwngne.USIMWACHE.
 
Back
Top Bottom