Je, ni tatizo kupenda ngono?

No!, huna tatizo..
Just hujaweza kujitofautisha na mnyama...

Mkuu mbona tunawaonea wanyama? Si mpaka wawe kwenye heat ndo utaona wakihangaika? Mbona wanyama ni watulivu sanaaaa..... Except jamii ya ndege e.g.,jogoo!!
 
wanajf mimi ninapenda ngono au tendo la ndoa,haziwezi kupita siku mbili sijafanya hilo tendo.je nina tatizo?

Kuna mfalme mmoja alikuwa anaitwa Daudi huko Israel yaani alikuwa na tabia kama yako. Aliamua kumuua Hamnoni askari wake sababu ya ngono. Lazima wewe utakuwa mzinzi kama huyo fisi huchagui mfupa wala nyama, tena ukijitaja jina lako nikagundua ni ndugu yangu basi undugu ungeisha leo.Maana haiwezekani kila siku uchinje kuku wako kuna siku utanunua au utaiba wa jirani. Pole uombewe na upepewe kabisa.
 
Je mwenzako anaridhia au kwa nguvu? kama anaridhia ngoma droo, kama halidhii hacha kabisaaaa na kama unaenda nje ya ndoa wafwa!!!! muurumie mkeo plez.
 
Kuna mfalme mmoja alikuwa anaitwa Daudi huko Israel yaani alikuwa na tabia kama yako. Aliamua kumuua Hamnoni askari wake sababu ya ngono. Lazima wewe utakuwa mzinzi kama huyo fisi huchagui mfupa wala nyama, tena ukijitaja jina lako nikagundua ni ndugu yangu basi undugu ungeisha leo.Maana haiwezekani kila siku uchinje kuku wako kuna siku utanunua au utaiba wa jirani. Pole uombewe na upepewe kabisa.
Hapo umenena mkuu!!
 
unaiendekeza bro otherwise una pepo...huyo unayengonoka nae kazi anayo
 
Back
Top Bottom