Je ni taasisi gani inaweza kunidhamini kusoma shahada ya uzamili?

jojujonicas

Member
Aug 22, 2012
46
36
Naomba kujuzwa juu ya hili swala,
Je kuna taasisi yoyote yenye kudhamini wa shahada ya uzamili hapa Tanzania?

Kama wanaofisi zao mahali ama wana anwani yeyote inayo fahamika naomba msaada kuwapata maana nina haja ya kudhaminiwa ili kujiendeleza na masomo ya udhamili katika diplomasia ya usuluhishi wa migogoro na utetezi wa amani.
 
Sio udhamili ni uzamili hata mm nataka ukipata taarifa hizo na mm nijuze nikaongeze jiwe ila na mm ntafuatilia kama tutapata wadhamini
 
Andika kitu kinaitwa SOP hapa ili tuku-endorse kupata fuba kutoka kampuni yetu.
Kwenye SOP yako utuambie
1. First degree umesomea nn
2. Umefanya nn cha kupigiwa mfano kupitia degree yako ya kwanza.
3. Nini kinapungua kwa ulichofanya no.2 hapo juu, hadi kupelekea kutaka kuongeza elimu.
4. Utushawishi kwa maelezo yasiyo tia shaka kwamba utaleta impact kupitia elimu yako ya masters na si vinginevyo.

Hivi sasa kumekuwa na kundi kubwa la watu wanaotaka kusoma elimu ya juu zaidi (masters na phd) kwa sabb wanaogopa kuyaishi maisha ya mtaani baada ya kumaliza shahada zao za kwanza. Wanakwepa kukabiliana na changamoto halisi za maisha na kutaka waendelee kuishi kama watoto wa makampuni na wafadhili.
 
NAOMBA KUJUA YAFUATAYO KABLA SIJAENDELEA MBELE

1) Nini maana ya SOP
2)Nini maana ya FUBA
3)Je hayo maelezo nayaandikia wapi?
(a)Naandika kwa kukujibu wewe?
(b)Kuna sehemu maalumu au kitu kama form ya maelekezo na kujaza?
 
Angalia TCRA na COSTECH, wanatoaga sholarpi annually, ila ni za issue za science
 
NAOMBA KUJUA YAFUATAYO KABLA SIJAENDELEA MBELE

1) Nini maana ya SOP
2)Nini maana ya FUBA
3)Je hayo maelezo nayaandikia wapi?
(a)Naandika kwa kukujibu wewe?
(b)Kuna sehemu maalumu au kitu kama form ya maelekezo na kujaza?
Hahahahahaaaa.. U made my day!
 
Matatizo ya huku nyumbani kuna ageism sana, watakwambia kuna scholarship za Julius Nyerere lakini kwa under 25's. Ingia Commonwealth Organisations wanakuwaga na scholarship lakini maranyingi ni 1st class na upper second. (2.1).
 
Back
Top Bottom