Je ni sawa kufanya hivi wakati mnafunga ndoa kanisani? wanawake muache hii...

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,054
6,281
bride ignores her husband for blackberry phone on wedding day.jpg

Mabinti wa siku hizi wakiwa kanisani wakat wa kufunga ndoa,wanakuwa bize na simu wakichat facebook na mitandao mingine ya kijamii,badala ya kusikiliza nini kinaendelea,mi nawaomba mabinti wenye hii tabia muache ningekuwa mimi ningemchapa kibao uyo binti apo
 
ungekuwa kuwa mkuu ungefanya nini,na kama ulishamuonya akazid kuendelea

Ningeichukua hiyo simu na kuangalia anachofanya, nikikuta ni madudu hayo anayosema, basi sitakuwa na haja ya ku-jicommit kwake, utakuwa mwisho wa ujinga wenyewe. Na nikikuta anachat na shoga zake nitaiweka hiyo simu yake kwenye mfuko wangu wa koti
 
Baibo siku izi ipo kwe vimchina vya androids.

Acha hao wanaotengeneza mazingira ya kuleta fujo kwa kusingizia makaratasi yao yamekojolewa.
 
mh hivi kuna mtu kweli anaweza kufungua simu kanisani much worse siku ya ndoa yake!mi nafikiir hili ni tangazo la biashara bana!
 
Jibu ni wote vicheche. Hapo ngoma droo kwa sababu ingekuwa mwingine hayuko bize angegundua tofauti aliyonayo mwenzake.
kuna mtu kasema eti wanabrowse neno kwenye aipadi na simu zao, si unajua baibo siku hz ipo kwenye softikopi...
 
inawezekana ibada yenyewe ipo ONLINE!
View attachment 69165

Mabinti wa siku hizi wakiwa kanisani wakat wa kufunga ndoa,wanakuwa bize na simu wakichat facebook na mitandao mingine ya kijamii,badala ya kusikiliza nini kinaendelea,mi nawaomba mabinti wenye hii tabia muache ningekuwa mimi ningemchapa kibao uyo binti apo
 
kuna mtu kasema eti wanabrowse neno kwenye aipadi na simu zao, si unajua baibo siku hz ipo kwenye softikopi...
Hiyo nimeipenda, cause Softcopy/Online bible itasaidia sana kuzuia watu wanaopenda kukojolea vitabu vya wenzao.
 
Umejuaje km walukuwa kanisani? Au umejuaje km walikuwa wanafunga ndoa na sio DOA?
 
mie kwenye arusi yangu,nilikuwa nachart na washikaji zangu,sababu nikaa hadi nnikachoka ..washikaji walikuwa wakinizomea tu..
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom