Je ni sahii Tanzania kuwepo cheo cha uazili mkuu

nitonye

JF-Expert Member
Dec 18, 2011
7,273
3,750
Wadau naomba kujua jambo hili ambalo linaitesa akili yangu pamoja watanzania wenzagu. Hapa kwetu Tanzania tuna Raisi, makamu raisi na waziri mkuu.
Wanasema waziri mkuu ni mtendaji mkuu wa serikali inamaana yeye ndio ana sauti lakini hili naliota tofauti maana raisi ndiye mwenye kauli ya mwisho. Sijawahi kusikia nchi yenye raisi mtendaji halafu ina waziri mtendaji
Je kwetu sisi Tanzania ni sahihi kuwa hiki cheo?
 
Ulikuwa na swali jingine zuri kuliko hilo ila umelikwepa kwa sababu zako binafsi,swali lilikuwa hivi. Je kwa utendaji kama huu wa waziri mkuu kuna umuhimu wowote wa kuwa na cheo hicho hapa tz?jibu utakalopata unaweza kuli apply pia kwa rais
 
yaani kwautendaji wa huyu waziri mkuu wetu hakuna haja ya kuwa na hicho cheo.mfano mdogo hili la posho za wabunge waziri mkuu kasema rais kazibariki,anakuja mkurugenzi wa habari wa ikuru anasema eti hakuna kitukamahicha rais hajabariki.sasa huyu waziri mkuu alípata wapi hyo habari.kwa mpango huu utendaji wa viongozi wetu wa ngazi ya juu hawapaswi kuwa na dhamana ya kutuongoza,kwani kila mmoja anaibuka na lake kama víle wako ndotoni.jamani hili siyo taifa la vikatuni jamani hatupendi huo upupu wenu na mtukome.
 
Back
Top Bottom