mtaratibuuuuuu
Member
- Aug 17, 2009
- 60
- 4
Mume anarudi toka kazini anapokewa na mkewe halaf hawajajuliana hali vizuri anauliza dada amelala?(mfanyakaz),au unaenda dukan na mumeo unamwambia ninunulie kiatu,anakuambia nimeona cha dada.Je ina maana anajali sana wa2 wa nyumbani kwakwe pamoja na dada?,na mume kumkumbatia dada anapofika nyumbani ni sahihi pia?