Je ni sahihi MSD kuisaidia Twiga Stars wakati hospitali hazina dawa?

kuna vitu huwa vinatokea nchini huwa vinanichanganya akili sana.jana mkurugenzi wa bohari ya dawa(MSD) kanda ya mashariki alimkabidhi hundi ya shillingi milioni 10 katibu wa TFF kama mchango wa shirika hilo kwa Twiga stars.sikatai kwamba twiga stars inastahili kusaidiwa na wadau mbalimbali ikiwemo MSD lakini swali langu je ni sahihi kimantiki kwa MSD kusaidia twiga stars huku tukiambiwa mahospitali hayana dawa na mojawapo ya tatizo ni ukosefu wa hela?
karibuni wadau.......

kwani unaposaidia ndugu/jirani kwako kumekamilika?
 
Hata wasingewapa hizo hela zisingefanya chochote cha kumsaidia mtanzania
sana sana zingeishia kwenye midomo yao tu.
 
haya matumizi nani anaoditi nani anayaruhusu, anatumia stakabadhi ya serikali kuonesha hii dharau, je anaandika nini kwenye hiyo risti?
 
kuna vitu huwa vinatokea nchini huwa vinanichanganya akili sana.jana mkurugenzi wa bohari ya dawa(MSD) kanda ya mashariki alimkabidhi hundi ya shillingi milioni 10 katibu wa TFF kama mchango wa shirika hilo kwa Twiga stars.sikatai kwamba twiga stars inastahili kusaidiwa na wadau mbalimbali ikiwemo MSD lakini swali langu je ni sahihi kimantiki kwa MSD kusaidia twiga stars huku tukiambiwa mahospitali hayana dawa na mojawapo ya tatizo ni ukosefu wa hela?
karibuni wadau.......
Kutoa ni moyo
Haina maana kuwa huna mahitaji
Hata nchi kama Marekani wanatupa misaada lakini huko kuna watu hawana makazi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom