Duduwasha
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 5,703
- 3,653
Kwa Mujibu wa Biblia Jumapili ni Siku ya Kwanza ya Juma na Si kweli ni siku ya Ibada... Koran Inasema alhamis ni Siku ya Tano ya Juma... Kuwa Makini Wewe Freemasn mlipotosha miaka mingi na bado mwataka kuendelea Kupotosha siku ya Ibada ni Jumapili Shame Heu lete Andiko lolote ndani ya Biblia Lioneshalo Jumapili ni siku ya Ibada... au Nyamaza kamuulize Mwalimu wako wa Dini fresh ndipo ulete Mapovu yako humu..mkuu huu mfano ni tofauti kabisa!! je huyu kondoo aliingia shimoni siku ya sabato??kwa nini hakutolewa shimoni mpaka tusubiri sabato imefika ndo tunajidai tunahangaika.swali langu linabaki palepale kuna usahihi wowote wa kukutana na madokta jumapili?