Je ni sahihi kuvaa suti bila kung'oa label ya designer?

mhondo

JF-Expert Member
Apr 23, 2011
968
342
Kumekuwa na tabia tofauti za uvaaji wa suti hasa za wanaume ambapo wengine uvaa na kuacha label ya designer aliyetengeneza suti husika kama vile hugo boss, pierre caldin, georgio armani n.k, wakati huo huo wapo wavaaji wengine wanaosema kuacha label ya designer ni ushamba na mvaaji anapaswa kuing'oa label husika. Je upi ni uvaaji sahihi kwani wapo pia watu wenye heshima zao wasiong'oa hizo label. Tushauriane.
 
Ile label inatakiwa kutolewa imewekwa na watengenezaji kwa dhumuni la kukujulisha mnunuzi kuwa ni suti ya dizaina gani ili usipate shida kufungua hadi ndani kutafuta jina na pia hurahisisha mnnunuzi kama anataka venicioni,luois vuiton kuchagua haraka kuendelea kuiacha label kuna maanisha bado unaiuza so usishangae kwa waelewa kukuuliza bei usije pigana tu
 
Ni ushamba 10,000% hata mimi nikuwaga naacha label ila kuna duka moja kubwa huwa nashop wakanipa live kwamba unatakiwa kuitoa mara moja. Lengo ni mnunuaji kuangalia designer anaemtaka. Mbona label za viatu hawawachagi? Ukiangalia wote wanaocha ni wabangubangu.
 
Nabandua za kwangu ucku huu2 kwani nilienda hadi 'mbele' kuattend seminar na lebo ya 'boss'. Thanks mkuu.
 
Kwani ukinunua toyota rav 4 utabandua alama zote
<br />
<br />
usijali we na kirav 4 chako usiweke ribit kwenye nembo zake zote na ukatize ubungo mataa kuna vijana pale kazi yao kusifia magari watakusifia sana na rav 4 yako
 
Ni ushamba 10,000% hata mimi nikuwaga naacha label ila kuna duka moja kubwa huwa nashop wakanipa live kwamba unatakiwa kuitoa mara moja. Lengo ni mnunuaji kuangalia designer anaemtaka. Mbona label za viatu hawawachagi? Ukiangalia wote wanaocha ni wabangubangu.
Mkuu, wabangubangu ndiyo kina nani?
 
Kumekuwa na tabia tofauti za uvaaji wa suti hasa za wanaume ambapo wengine uvaa na kuacha label ya designer aliyetengeneza suti husika kama vile hugo boss, pierre caldin, georgio armani n.k, wakati huo huo wapo wavaaji wengine wanaosema kuacha label ya designer ni ushamba na mvaaji anapaswa kuing'oa label husika. Je upi ni uvaaji sahihi kwani wapo pia watu wenye heshima zao wasiong'oa hizo label. Tushauriane.
Label gani unazoziongelea kwenye suti!
Kuna suti zingine mikononi kuna label za designer zimeshonwa ni hizo?
 
nasita kidogo, kwanini ile label inashonwa na machine mkononi kama inatakiwa kutolewa?.........so unatoa kwa kiwembe?..........wanatkiwa kuegesha
 
nasita kidogo, kwanini ile label inashonwa na machine mkononi kama inatakiwa kutolewa?.........so unatoa kwa kiwembe?..........wanatkiwa kuegesha
Zimeshonwa na machine tena ukifanya mchezo wakati wa kuzitoa unaweza kuichana suti yako!
Sasa najiuliza kwa nini wazishone na machine kama zinatakiwa zitoke kwa mujibu wenu humu JF, hata mimi nasita kidogo
 
unajua mwingine anaponda hana suti so anaweza akaharibu sut za wenzake kweli wameshona ukikosea umeharibu mkono wa sut
 
uking'oa ama usipoing'oa vyote sawa tu kwani inavalika na mtu anapendeza atakayeona una ushamba shauri yake roho inamuuma nini ...... ???
 
Back
Top Bottom