Je ni Rais gani Tanzania atakaesubutu kufanya kazi kwa vitendo kama

Shine

JF-Expert Member
Feb 5, 2011
11,481
1,364
Je ni Rais gani Tanzania atakaesubutu kufanya kazi kwa vitendo kama Nyerere alivyofanya wakati wa ujenzi wa vijiji vya ujamaa?

188943_162126363840443_122605691125844_310200_126633_n.jpg
Bilashaka hayupo na sidhani kama atajajitikeza
 
Mh kuweni na adabu kidogo hivyo vijiji alivyoanzisha mbona vimelalamikiwa sana na mababu zetu!

Hata kama vimelalamikiwa alikuwa na nia njema nae alijituma na kama makosa yalikuwepo ni ya kibinadamu kawaida
ngoma ni huyu jamaa wetu wa sasa kila akifanyacho lawama kibao zinamjia nyuma
 
kwani ni rais gani ambaye aliwahi kupongezwa na mtu kutoka Geita mpaka Ikulu Magogoni huyo mtu alitoka Geita na usafiri wa baiskeli!
 
Hata kama vimelalamikiwa alikuwa na nia njema nae alijituma na kama makosa yalikuwepo ni ya kibinadamu kawaida
ngoma ni huyu jamaa wetu wa sasa kila akifanyacho lawama kibao zinamjia nyuma

Mkuu usisahau kuwa hivi sasa vyombo vya habari ni vingi na uhuru wa habari ni mpana kuliko zama zile za zidumu fikra sahihi za Mwenyekiti pia idadi ya watanzania imeongezeka maradufu na idadi ya wasomi pia sasa hatutotenda uadilifu kama tutalinganisha idadi ya lawama. Babu yangu mpaka anakufa alikuwa akilalamika sana suala la vijiji vya ujamaa kwani alihamishwa mahala alipojijenga na penye rutba na kupelekwa pasipo na tija na hakuwa na chombo cha habari cha kumpigia kelele!
 
dah lakini wakubwa tusiwe wachoyo wa shukurani, ni kweli hakuna binadamu asiyekosa mapungufu ila na huyu wa sasa kuna mazuri ameyafanya hata kwa asilimia ndogo.
 
zumbukuku ye hana habari ..ni mwendo wa bembea na kuchungulia masufuria ya ubwabwa nahisi mfukoni alikua na ndizi na pili pili hapa..cheza na sirte {msoga} ww
View attachment 43952View attachment 43952

Mimi nina shida sana na wanahabari wa kikwete na picha wanazotuletea.... hata siku ya huzuni wanaweka ziwe kiubwabwa-ubwabwa, maram bembea mara anapiga ngoma, mara anapiga gitaa....

it is not fair kwani JK ana moyo wa kujitoea na hujitolea tu, sasa hii reflection wanayompa mie hoi
 
Back
Top Bottom