Je?? NI MUDA WA WANANCHI KUFANYA MAAMUZI MAGUMU

Wajameni serikali iwaoneshe dalili gani hata mjue imeshindwa kutekeleza majukumu yake??? Anayepaswa kufanya maamuzi sasa ni mwananchi mwenyewe.... Muda ndo huu.
 
jk anasema tumeendelea ..si unaona magari yamejaa barabarani! miaka iliyobaki ni kama muongo 1. na uzuri hawa watu hawaguswi hata wakifanyaje ndo maana hakuna kujali patriotism haipo tupiganie katiba mpya.change we need
 
Back
Top Bottom