mageuzi1992
JF-Expert Member
- Apr 9, 2010
- 2,503
- 252
Wapenzi wana JF nimesikia habari za mbunge G.Lema kunyanganywa ubunge wakwe na Mahakama ya Arusha. Niliposikia habari hizi kwanza niliduwaa!! Pili yalifuata maswali mengi sana kichwani
1. Nini kilichosababisha?
2. Je hukumu hiyo ni halali?
3. Je hakuna mkono wa mtu hapo? (Mathalani EL?)
1. Nini kilichosababisha?
2. Je hukumu hiyo ni halali?
3. Je hakuna mkono wa mtu hapo? (Mathalani EL?)