Je ni Mapambano gani anayoyazungumzia Lowassa?

Gagurito

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
5,600
803
Vyombo vya habari leo vimemnukuu Waziri Mkuu mstaafu Bwana Edward Lowassa (Mb) kuwa Amerejea nchini na "yupo fit kwa mapambano".
SWALI: JE NI MAPAMBANO GANI ANAYOZUNGUMZIA LOWASSA?!
 
Ni mapambano dhidi ya akina Nape, JK and the like. Kwa kifupi, it is all about to contain impurities and irregularities that appear to block his way towards Magogoni 2015. Let's us join our hands and pray for him. He is enegertic and capable to transform Tanzania into a paradise within 5 years!
 
Je Ujerumani kaenda kufanya nini kama yupo fine. Aturudishie ma bilioni yetu ya richmond kisha aje tuongee but not now.
 
Kwanza sio waziri mkuu mstaafu, hayo mapambano apambane, si tunasubiri kuona wanavyotoana roho, ila ajue hii nchi sio ya baba yake wala ccm, nyambafu
 
Very Good Question. Mapambano Gani?
Mapambano ambayo Taifa zima yanashiriki mpaka sasa ambayo na yeye ni mdau mkubwa ni Mapambano dhidi ya Ufisadi, hasa utekelezaji wa Maadhimio ya Bunge juu ya Ufisadi wa Richimond.

Au ndio anataka kuanza next stage baada ya kumlipua Jakaya Kwenye mamikutano yao. Kama ni Mapambano haya, niko tayari kushiriki naye.

Huu ndio wakati NAPE anahitajika sana katika Taifa letu, ngoja tuone kama na yeye atatufanyia mazingaombwe kama ya Madaktari.
 
Ni mapambano dhidi ya akina Nape, JK and the like. Kwa kifupi, it is all about to contain impurities and irregularities that appear to block his way towards Magogoni 2015. Let's us join our hands and pray for him. He is enegertic and capable to transform Tanzania into a paradise within 5 years!

He is not capable. Wa tz lazima tufahamu kuwa mradi tunaopaswa kuufanyia kazi ni kubadilisha huu mfumo wa kifisadi. Hivyo mtu yeyote anayetoka katika mfumo huu wa ccm, is not fit to take the highest position of leadership of our country. 2015 kama sanduku la kura likishindwa kuitoa ccm, nguvu lazima lazima na lazima itumike.
 
eti kaenda kucheki mapigo ya moyo na sukari ujerumani hapo ni mbunge tu.... Je akipewa urais si ndio haja ndogo atapanda ndege aende kukojoa south africa..
Ina maana hata aga khan hamna hivyo vipimo?
 
Whether fit or unfit, capable or uncapable; yeye na genge lake lote la Mafisi hadi... hawafai. Richimond-Dowans-Symbion; RADA; EPA; MADINI; WANYAMAPORI;... leo tuko gizani!!! Watanzania bado mnaseme wanafaaa; Kweli sisi WADANGANYIKA
 
Shetani tuu huyu na ana nguvu za kishetani giza nene eti leo vyombo vyote vya habari vimetoa habari ya kurudi kwake kama habari maalumu alipoondoka alimwaga nani,magazeti yote wamemuweka mbele ya kurasa jipya lipi huyu jambazi muuaji anayeua wenziwe kwa sumu ili mradi aingie magogoni hafai huyo binadamu mikono yake inanuka damu na hira
 
Kwa kutaka kujionyesha kuwa yupo fit(sidhani)anatembea kama robot,halafu hawa TBC bana hata kurejea kwa Lowasa kunapewa kipaumbele cha kwanza kwenye taarifa,mbona wakati wa kuondoka aliondoka kimya kimya,halafu yeye sio Waziri mkuu mstaafu,huko TBC sijui kuna nini,ishu za EL zinakuwa kama za mtu aliye juu ya raisi
 
Vyombo vya habari leo vimemnukuu Waziri Mkuu mstaafu Bwana Edward Lowassa (Mb) kuwa Amerejea nchini na "yupo fit kwa mapambano".
SWALI: JE NI MAPAMBANO GANI ANAYOZUNGUMZIA LOWASSA?!

.
Mapambano ya kuhakikisha kuwa Jk na secretarieti yake mpya wanamlipa fidia kwa hasara waliyomsababishia katika kampuni yake ya Richmond(Dowans).
Halafu kama Lowasa alienda ujerumani kutibiwa na hata kulazwa hospitalini bila kuumwa basi itakuwa anaumwa magonjwa ya nafsi ambayo kimsingi Dr's hawawezi kuyaona katika vipimo vyao. Lazima Lowasa ana hangaiko la nafsi linalomtesa. Ndio maana aliliendea mpaka Nijjeria kwa nabii Jushua lakini haikumfaa kitu. Hata hivyo kuna jambo ambalo ambalo inapaswa tujiulize watanzania. Je ni kwa kodi zetu jamaa anakatiza nazo mitaa kwenda kupima afya wakati anadai haumwi? Maana kuna mfuko wa bunge kwa ajili ya matibabu ya wabunge. Oohoo! Angalieni wajameni tutakuja kutoana nyongo bure hapo serikali makani itakapoinyakua hii nchi.
.
 
We nae kenge tu lowasa abali nchi au ndo atatuuza kabsa.mwogope hafai hata kidogo
 
Huyo fisadi hanalolote la maana wanaomfagilia ni wachovu wa kufikiri. haiingii akilini kumfagilia mtu anayewahujumu watanzania wenzake kwa manufaa binafsi.
 
Kwa kutaka kujionyesha kuwa yupo fit(sidhani)anatembea kama robot,halafu hawa TBC bana hata kurejea kwa Lowasa kunapewa kipaumbele cha kwanza kwenye taarifa,mbona wakati wa kuondoka aliondoka kimya kimya,halafu yeye sio Waziri mkuu mstaafu,huko TBC sijui kuna nini,ishu za EL zinakuwa kama za mtu aliye juu ya raisi
Wivu wa kike huu.
 
14 " ‘Ninapomwambia mwovu: "Hakika utakufa," naye kwa kweli ageuke na kuiacha dhambi yake na kuendelea kutenda haki na uadilifu, 15 naye mwovu arudishe kitu kile kilichowekwa rehani, alipe vitu vile vilivyochukuliwa kwa unyang'anyi, naye kwa kweli atembee katika sheria za uzima kwa kutotenda ukosefu wa haki, hakika ataendelea kuishi. Yeye hatakufa. 16 Hakuna yoyote kati ya dhambi zake alizozitenda itakayokumbukwa juu yake. Yeye ameendelea kutenda haki na uadilifu. Hakika ataendelea kuishi.' Ezekieli 33.14
 
Huyo fisadi hanalolote la maana wanaomfagilia ni wachovu wa kufikiri. haiingii akilini kumfagilia mtu anayewahujumu watanzania wenzake kwa manufaa binafsi.
Madhara ya kutumia makamasi ktk kufikiri.
 
Back
Top Bottom