je ni lazima kutoka nje ya ndoa kisa ujauzito??

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,720
21,778
kama jibu ni ndio andika Y
Kamaa hapana andika N
kama huna jibu andika S
 
kama jibu ni ndio andika Y
Kamaa hapana andika N
kama huna jibu andika S

Kwani hii ni kipima joto cha ITV ambako majibu huwa katika asilimia bila kutaja idadi ya waliojibu (sample size)?
 
Mke kuwa na mjamzito haina maana haruhusiwi kufanya mapenzi na mumewe, lakini wakati huo huo kuwa ujauzito mwingine huwa na complications ambazo daktari huziona zinaweza kuathiri ujauzito na hata maisha ya mama na mwana na hivyo kutoa ushauri mama asifanye mapenzi mpaka baada ya kujifungua. Pia kuna wanawake wengine ambao hutumia ujauzito kama sababu ya kukataa kufanya mapenzi pamoja na kuwa hakuna complications zozote zile. Hebu liweke vizuri swali lako. Je, kutoka nje kunasababishwa na complications za mjamzito au hataki tu kufanya mapenzi kwa sababu ni mjamzito?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom