Je ni lazima Engineer aitwe kwa initial ya Eng.?

Weka email ya mkeo nimtumie vyeti na hazina yangu ya Certification za kitaaluma..

NB: Kupoteza lengo itahesabiwa ni dalili ya uchoko.
TAALUMA YA (HONS)BSC????, LOL.
wewe naona unataka kunitafutia SERVER BAN.
 
Ushamba wa kitanzania..
Michele obama ni dr.
Condoleeza rice ni prof.
But husikii wakiitwa hivyo.
Wabongo kujikuza tu.
Wakati kichwani hamna kitu...
 
Dah ,naona unabishia kitu usichokielewa,Graduate Engineer haruhusiwi kutumia Initial ya Eng wala hana haki hiyo kisheria, mpaka uwe Proffesional registred,Usiandikie mate wakati wino upo,nenda hapo ERB uulize ujihakikishe.

We ndo huelewi na wala sibishi ila nakuelewesha! ERB tunacheza nayo kila siku Mtu amegraduate na amesajiliwa kwa nini asitumie initial ya Eng? Nenda hapa ndo utajua sheria za ERB www.erb.go.tz/ halafu uje ubishe
 
Sijui unaeleza kisheria au kwasababu ya uhuru tu wa mtu kulitumia neno Eng. What I know those initials could only be used by registered professional engineers.Graduate engineers wanasajiliwa ila wanatakiwa wafanye kazi kuanzia miaka mitatu na kuendelea katika maeneo ya Design, Workshop/maintenance/Field work na Management na kuandika report ambayo ERB lazima waipitie na kuikubali ili aweze kuwa Professional engineer.Vinginevyo mtu ameamua tu kutumia Eng ingawa sheria haimtambui hivyo.
Tukumbuke kuwa professional engineers ndio wanauwezo kisheria kuendorse miradi yenye kuhitaji signature ya engineer kufanyika. Leo hii ukitaka kujenga Ghorofa, hata kama structure engineer wako akiwa ni graduate, ili jiji wapitishe michoro na kukupa building permit, lazima muhuli wa registerd engineer uwepo pale na sio wa graduate engineer.

Professional Engineers na Graduate Engineers wote Ni Engineers na wanahaki kutumia initial ya Eng. Iwapo wamesajiliwa! kinachowatofautisha ni grades na uzoefu katika field ya engineering! ni sawa katika jeshi kwa mfano cheo cha major kina senior na junior lakini mpigiwa saluti ni senior na ndiye mzoefu lakini wote wana cheo cha major
 
Professional Engineers na Graduate Engineers wote Ni Engineers na wanahaki kutumia initial ya Eng. Iwapo wamesajiliwa! kinachowatofautisha ni grades na uzoefu katika field ya engineering! ni sawa katika jeshi kwa mfano cheo cha major kina senior na junior lakini mpigiwa saluti ni senior na ndiye mzoefu lakini wote wana cheo cha major
Ok naona umeelewa hivyo.Ni kweli huwezi kuwa graduate or professional engineer bila kuwa engineer.In terms of recognition my dear friend, graduate anatambuliwa kama graduate na sio practicing engineer until the day when the status quo changes to professional engineer.Professional engineer anatambulika na mamlaka husika kama engineer mwenye sifa za kufanya kazi za kihandisi, na lolote lile likitokea atasimama na kuwajibishwa kama mhandisi aliyekomaa kufanya kazi za kihandisi.
Tena wakati wote ukiwa graduate engineer ni lazima ufanye kazi chini ya registered professional engineer ili kazi yako ikubalike kama ni ya kihandisi. Kutumia Eng ni hiari ya mtu ila kisheria huwezi ukaandika kwenye document za kihandisi Eng wakati wewe sio Professional engineer na mtu wa serikali (ERB) akakukubalia.
Kwa maana hiyo basi wakati General, colonel,major na liteunant wote ni askari, vyeo vyao ndivyo vinavyowatenganisha katika maamuzi ya kijeshi. Kuna mtu apende asipende atamsikiliza mwingine tu kwasababu ya cheo kilichowazi juu ya bega lake.
Professional engineer na Graduate engineer ni engineers hao hao mkuu. suala ni nani sheria inamtamubua vipi ndo issue yangu hapa.
 
kwani tatizo ni nini ikiwa daktari anaanza na Dr? acha dharau

Kaka Engineer ni jina ZITO na linaonewa wivu ila ni Gumu Kulisomea mkuu unaweza sahau kuoga kwa wiki 2 ! Enzi hizo FOE ukitoka pale UDSM umeiva kwelikweli
 
Ushamba wa kitanzania..
Michele obama ni dr.
Condoleeza rice ni prof.
But husikii wakiitwa hivyo.
Wabongo kujikuza tu.
Wakati kichwani hamna kitu...
wanasiasa wanafanya pihechi dii KISIASA!wanawapa vijana pale posta wawafanyie dizatesheni,wao ni kuprizenti tu!...TUNAJUA HILO!MUWE MAKINI SANA
 
Kaka Engineer ni jina ZITO na linaonewa wivu ila ni Gumu Kulisomea mkuu unaweza sahau kuoga kwa wiki 2 ! Enzi hizo FOE ukitoka pale UDSM umeiva kwelikweli
Out of Curiosity,wewe ni engineer? Uligraduate enzi za Foe au Coet na katika fani gani? In the past, wanafunzi wa foe walijisahau kama na fani nyingine nao wanasoma kama wao. Mtaani sasa, ukitaka lawyer issue, business plan issue,na unajua tena kule arts basheria ndo kulikuwa na watoto wazuri wengi nao pia ni issue..list could go on and on! Au nasema uongo mkuu
 
Kaka Engineer ni jina ZITO na linaonewa wivu ila ni Gumu Kulisomea mkuu unaweza sahau kuoga kwa wiki 2 ! Enzi hizo FOE ukitoka pale UDSM umeiva kwelikweli
ulipotamka hilo neno lililoboldiwa nikahisi mmeshaanza kumjadili/kumpaisha ''kijana mwenzenu''.nashangaa leo siku inataka kuingia bila thread yake moja:D
 
ulipotamka hilo neno lililoboldiwa nikahisi mmeshaanza kumjadili/kumpaisha ''kijana mwenzenu''.nashangaa leo siku inataka kuingia bila thread yake moja:D

Sijui sisi tuliosoma urusi hatupewi heshima ya kuitwa mainjinia. Nasikia ERB hawataki kuangalia makaratasi toka Urusi!
 
Ndugu wana JF, Naomba kuelimishwa!
Tanzania, wataalamu wengi waliosomea maswala ya engineering wanapenda kujitambulisha kwa initiala za Eng. someboby (eg Eng Wande and so on).
Je huu ni utaratibu unaojulikana sehemu nyingine duniani? (je in developed world ulishasikia kitu kama hiki?)
Kwanini wasitumie initial za Mr.?
Using the title engineer is just a convention which although not quite common within the British educational system it is a standard title for qualified engineers in most countries in continental Europe and elsewhere. With or without it one should not really loose sleep over it unless, of course, it applies to someone who attained the qualifications through dubious ways - or does not posses them at all. Even then, there are so many fake titles around nowadays. The days of Professor Maji Marefu, Dr Remmy and others have paved the way for Drs in top positions whose qualifications are questionable. But life goes on.
 
Using the title engineer is just a convention which although not quite common within the British educational system it is a standard title for qualified engineers in most countries in continental Europe and elsewhere. With or without it one should not really loose sleep over it unless, of course, it applies to someone who attained the qualifications through dubious ways - or does not posses them at all. Even then, there are so many fake titles around nowadays. The days of Professor Maji Marefu, Dr Remmy and others have paved the way for Drs in top positions whose qualifications are questionable.
 
inapendeza mkuu, kuitwa Eng so and so
...halafu mnatutengenezea barabara chini ya viwango na mambo mengine kama hayo. Isipendeze kwenye jina tu hata na kwenye kazi mfanyazo pia. i prefer Eng. Xinua Jua Yong than Eng. Mberwa
 
Vipi mkuu, mbona umewamaindi mainjinia tu?
Mbona kuna:
Mwalimu Nyerere
Dokta Kashumba
Msomi (Lawyer) Lamwai
Judge Mashenene
why Not: Eng. Chrispin? Hutaki watu wapate maujiko? Hahaha!
Na bado watakuja:
Nurse Maria
Mhasibu John
Linguist Blurei
Mpishi Bahati,
Mwanakwaya Kashumba

Hahaha! People are proud of their proffesions!

lol
 
Back
Top Bottom