Je ni lazima Engineer aitwe kwa initial ya Eng.?

Serendipity

JF-Expert Member
Jan 24, 2009
486
43
Ndugu wana JF, Naomba kuelimishwa!
Tanzania, wataalamu wengi waliosomea maswala ya engineering wanapenda kujitambulisha kwa initiala za Eng. someboby (eg Eng Wande and so on).
Je huu ni utaratibu unaojulikana sehemu nyingine duniani? (je in developed world ulishasikia kitu kama hiki?)
Kwanini wasitumie initial za Mr.?
 
what about this one

Ogah BSc (Hons), MSc., PhD. P.E. C.Eng., FICE
 
Ndugu wana JF, Naomba kuelimishwa!
Tanzania, wataalamu wengi waliosomea maswala ya engineering wanapenda kujitambulisha kwa initiala za Eng. someboby (eg Eng Wande and so on).
Je huu ni utaratibu unaojulikana sehemu nyingine duniani? (je in developed world ulishasikia kitu kama hiki?)
Kwanini wasitumie initial za Mr.?

Vipi mkuu, mbona umewamaindi mainjinia tu?
Mbona kuna:
Mwalimu Nyerere
Dokta Kashumba
Msomi (Lawyer) Lamwai
Judge Mashenene
why Not: Eng. Chrispin? Hutaki watu wapate maujiko? Hahaha!
Na bado watakuja:
Nurse Maria
Mhasibu John
Linguist Blurei
Mpishi Bahati,
Mwanakwaya Kashumba

Hahaha! People are proud of their proffesions!
 
Eng. wanaruhusiwa tu kutumia wahandisi waliohitimu na kusajiliwa ni bodi ya Usajili ya Wahandisi (Engineers Registration Board). Hii pia ina uwezesha uma kujua kama yule wanayetaka kumuajiri ni mhandisi kweli au la. Nchi nyingine kama Germany wanatumia Ing. Kama ukimwona mtu ambaye hajasajiliwa anatumia Eng kabla ya jina lake, unaweza kumripoti na akachukuliwa hatua za kisheria.
 
Vipi mkuu, mbona umewamaindi mainjinia tu?
Mbona kuna:
Mwalimu Nyerere
Dokta Kashumba
Msomi (Lawyer) Lamwai
Judge Mashenene
why Not: Eng. Chrispin? Hutaki watu wapate maujiko? Hahaha!
Na bado watakuja:
Nurse Maria
Mhasibu John
Linguist Blurei
Mpishi Bahati,
Mwanakwaya Kashumba

Hahaha! People are proud of their proffesions!

Dah mchumba inapendeza sana,Eng chrispin
Halafu sio kila mtu anaruhusiwa kujiita Eng kwa vile umesomea uinjinia,ni mpaka uwe profeshonol rejistad na bodi ya mainjinia.
 
Ndugu wana JF, Naomba kuelimishwa!
Tanzania, wataalamu wengi waliosomea maswala ya engineering wanapenda kujitambulisha kwa initiala za Eng. someboby (eg Eng Wande and so on).
Je huu ni utaratibu unaojulikana sehemu nyingine duniani? (je in developed world ulishasikia kitu kama hiki?)
Kwanini wasitumie initial za Mr.?
inapendeza mkuu, kuitwa Eng so and so
 
Unaweza kuziongeza hizo initials kama umeshakuwa registered as a professional engineer. Kazi ni kuwa registered maana ERB wana mizengwe kweli
 
Unaweza kuziongeza hizo initials kama umeshakuwa registered as a professional engineer. Kazi ni kuwa registered maana ERB wana mizengwe kweli

Siyo lazima uwe professional pia Graduate Engineers wanasajiliwa na wana haki ya kuitwa Engineers and Write Eng.... before there names Mkuu. Technicians pia wanasajiliwa na ERB na wanapewa mitihani ya kuwa professional Engineers na kupanda grade!
 
Dah ,naona unabishia kitu usichokielewa,Graduate Engineer haruhusiwi kutumia Initial ya Eng wala hana haki hiyo kisheria, mpaka uwe Proffesional registred,Usiandikie mate wakati wino upo,nenda hapo ERB uulize ujihakikishe.
 
Ok theni rudi kwenye hoja ya mwenye thread!
 
Ndugu wana JF, Naomba kuelimishwa!
Tanzania, wataalamu wengi waliosomea maswala ya engineering wanapenda kujitambulisha kwa initiala za Eng. someboby (eg Eng Wande and so on).
Je huu ni utaratibu unaojulikana sehemu nyingine duniani? (je in developed world ulishasikia kitu kama hiki?)
Kwanini wasitumie initial za Mr.?
.
Wande, kwanza kwa kuanzia, japo mimi sio mnajimu, najua swali lako limetokana na 'Mkurugenzi Mkuu wa Veta, Eng. Zebadiah Moshi,'.
Hii title ya Eng. ni professional recognition kama Dr. na Prof. Rev, au vyeo vya kijeshi, Gen, Field Marshal etc
Mtu yoyote awe ni engener kweli au si kweli, hazuiwi kujiita Eng, bali anazuiwa kujiandika Eng. kwenye bussiness card yake ao official communication kama sio professional.
Hata Dr, yoyote anaweza kujiita ndio maana tuna Dr. Love, Dr. Ndodi, Dr, Kifimbo na humu jf tuna maDr. hawa wafuatao, Dr.Mosha JF Premium Member
Dr.Mwera Junior Member
dr.nkya Junior Member
dr.ogba Junior Member
dr.opingcoco Junior Member
dr.phone Junior Member
Dr.ReplintJr Junior Member
dr.tenga Junior Member
dr.udin2006 Junior Member
Dr.Ugsonl Junior Member

Maprof kibao, Prof. Matikisa, Prof, Maji Marefu, Prof Singira Prof. Mizengwe Junior Member
prof.cstark Junior Member
Pro.fesy

Na pia tuna ma Eng. wafuatao,Eng. david Msec Junior Member
Eng.NESTORY RWECHUNGURA Junior Member
eng.els29t Junior Member
Engineer Senior Member
engineer mgeni Junior Member
Engineer Mohamed JF Senior Expert Member
Engineer Mohammed Senior Member
Engineer2 Junior Member
Eng.inly Junior Member
eng.libertm Junior Member
eng.y79 Junior Member

Hata vyeo vya kiimani, Askofu, padri, Fr. Rev, Mchungaji, Cannon watu wanaruhusiwa kujiita, hadi vyeo vya kijeshi Col, Gen, Field Marshal John Okello etc, kuwa huru kujiita vyovyote ili uhuru huo usivuke mipaka kwenye formal communications unless ni wa ukweli.
 
Siyo lazima uwe professional pia Graduate Engineers wanasajiliwa na wana haki ya kuitwa Engineers and Write Eng.... before there names Mkuu. Technicians pia wanasajiliwa na ERB na wanapewa mitihani ya kuwa professional Engineers na kupanda grade!
Sijui unaeleza kisheria au kwasababu ya uhuru tu wa mtu kulitumia neno Eng. What I know those initials could only be used by registered professional engineers.Graduate engineers wanasajiliwa ila wanatakiwa wafanye kazi kuanzia miaka mitatu na kuendelea katika maeneo ya Design, Workshop/maintenance/Field work na Management na kuandika report ambayo ERB lazima waipitie na kuikubali ili aweze kuwa Professional engineer.Vinginevyo mtu ameamua tu kutumia Eng ingawa sheria haimtambui hivyo.
Tukumbuke kuwa professional engineers ndio wanauwezo kisheria kuendorse miradi yenye kuhitaji signature ya engineer kufanyika. Leo hii ukitaka kujenga Ghorofa, hata kama structure engineer wako akiwa ni graduate, ili jiji wapitishe michoro na kukupa building permit, lazima muhuli wa registerd engineer uwepo pale na sio wa graduate engineer.
 
Kwa wahaya huenda mbali zaidi, hata kwenye kutambulisha watoto, wake na hata marafiki wa watu wenye title.

Mtoto wa Eng Rwegasira

Mama Dr Koku

Mama Judge Rwehumbiza

Mtoto wa wakili Rwakatare

Rafiki wa Prof Rweikiza etc etc

Matumizi ya title yako juu sana kwa wahaya, kuna Prof moja hata mkikutana bar lazima umwite Prof Ishengoma, ukimwita mzee Ishengoma haitiki!!!
 
How about,

Eng. Abdulhalim bin Mwalim (Hons) BSc., MPhil., PhD.
mnhhh, BSc(Hons) na sio (Hons)BSc, wewe inaonyesha ni kanjanja.
Dah ,naona unabishia kitu usichokielewa,Graduate Engineer haruhusiwi kutumia Initial ya Eng wala hana haki hiyo kisheria, mpaka uwe Proffesional registred,Usiandikie mate wakati wino upo,nenda hapo ERB uulize ujihakikishe.
nakugongea senksi, after three years na mie nitakua Eng. George Porjie, makofi basi pah pah paah pah!.
 
Back
Top Bottom